Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

jamaa kiukweli nilikuwa simkubali hata kidogo ila baada ya kusikia hii ngoma i can say he has won me over
 
ni dhambi kubwa sana kumcompare ali k na huyu jamaa,ali k ni msanii mzuri kweli ila kwa huyu jamaa atasubiri sana,na amshukuru diamond bcoz ndo kampa publicity tena but kama kumfikia huyu mtu inabidi ajipange sana sio kwa maneno tu.kizuri ni kizuri lakini bora ni bora zaidi.habari mnayo.
 
Sawa tumeshajuwa kama katoa single mpya, hizo zingine ni porojo tu kama za Le Mutuz.

Diamond yupo na Wema ila promo zake za kutengeza scandle zimepitwa na wakati.

huwa nakukubali sana mkuu una point balaa
 
Manina hilo video duuh! Ukitaka kufaidi icheki kwa hd ni noma sana...Adam Juma amsaidie jamaa basi atoe kavideo kake atleast shabiki maandazi wake wapate cha kuongea manake kila kona sahivi ni #diamond
Watu oyooooo baba akiingia watoto wanaenda kuongelea chumbani
 
ni dhambi kubwa sana kumcompare ali k na huyu jamaa,ali k ni msanii mzuri kweli ila kwa huyu jamaa atasubiri sana,na amshukuru diamond bcoz ndo kampa publicity tena but kama kumfikia huyu mtu inabidi ajipange sana sio kwa maneno tu.kizuri ni kizuri lakini bora ni bora zaidi.habari mnayo.

nimekupenda buree
 
Nasema tena hawa watu ndio wataoana siku moja mtanambia.
Wewe ndoa sio kama kuchukua fomu za umiss na kushiriki.Hapo Wema anajiona still young but 3 yrs utakuta kaolewa na babu like 40's hivi coz vijana wenzake wataona kachuja.Diamond yeye ataoa demu wa miaka 23 hivi coz hiyo ndio formula ya life.
 
Manina hilo video duuh! Ukitaka kufaidi icheki kwa hd ni noma sana...Adam Juma amsaidie jamaa basi atoe kavideo kake atleast shabiki maandazi wake wapate cha kuongea manake kila kona sahivi ni #diamond
Watu oyooooo baba akiingia watoto wanaenda kuongelea chumbani

hahaaaaah leo story ni diamond tu,
lazma wajue kutofautisha msalaba na jumlisha
 
Ingia mkito ununue,au korosho hujauza?

Wasanii wa bongo wanaangushwa na watu kama nyie,mnamsifia tu,kazi hamnunui?

Support our artists!! Ukijiunga unapewa ngoma kumi bure

ha ha ha haaa ume nikumbusha kwetu daah huu ndio msimu wa korosho kaka ila serikali wana zingua wana wakopa wakulima.
 
watamkubali tu dimond nomah!

"baaado ananijia ndotoni ..ahaa! kila ....

Last edited by a moderator:
jamaa kiukweli nilikuwa simkubali hata kidogo ila baada ya kusikia hii ngoma i can say he has won me over

mtakubali tu taratiiiibuuu team kiba wana anaza kuzima sigara.karibuni sana.
 
watamkubali tu dimond nomah!

"baaado ananijia ndotoni ..ahaa! kila ....

Ha ha haaa who is a real king? wana daresalama chalii wako kimyaaa leoo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom