KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Diamond ndio mnyama gani na anapatikana mbuga gani....???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wimbo ni kawaida tuu lkn sio kweli kwamba ukawaida wake ni dalili ya kushuka chart kwa Diamond only time will tell.
wimbo huo wa dimond unafunikwa hata na wa rich mavoko
Wewe ndo uendelee kujidanganya huyo ndo diamond bana....Endeleeni kumdanganya na,kuua,muziki,wetu
wimbo huo wa dimond unafunikwa hata na wa rich mavoko
Hauwezi kuufikia pacha wangu hata robo
Wewe ndo uendelee kujidanganya huyo ndo diamond bana....
Diamond ndio mnyama gani na anapatikana mbuga gani....???
kwenye CELEBRITY FORUM main page ina THREADS ZA DIAMOND 16!!!!! Huwezi kuwa nobody ukapata threads 16 kwenye page moja...DIAMOND TANZANIA HII NI ZAIDI YA MWANAMUZIKI NI BRAND...........HATA KAMA HUMKUBALI HUO NDIO UKWELI
ha ha ha ha hii ni sauti ya rais iliomshinda ibilisi kwa binadamu sio rahisi.....nice track,baada ya high tempo mdogo mdogo sasa hivi kapunguza speed na hii track iko kinda slow....flava tofauti kwa watu tofauri, kiwango cha video kinajieleza ndio maana imepigwa mtv/trace n.k DIAMOND kiboko!!!!
Napenda sana nyimbo zake ila nitafurahi akianza kupiga live show na kuachana na show za kutumia CD