Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kushuka hashuki bado yupo sana, ila wimbo wa kawaida kwa level yake mwenyewe yani ukawaida wake una compare na nyimbo zake za awali.
Kijana yupo sana japo nasema wa kawaida hapa niko chumbani nimelala nasikia majirani wanaupiga na kuurudia toka nimefika home
 
kazana kusema diamond kashuka wakat mwenzio mtvbase wimbo unapigwa.hao waliopo juu nyimbo zao zimefika huko?acha kumuombea mabaya kijana wa watu eti mr nice anamsubiri kona baa.mtasubiri sanaaaaaaa wimbo mzuri sanaaaaaaaa
 
ha ha ha ha hii ni sauti ya rais iliomshinda ibilisi kwa binadamu sio rahisi.....nice track,baada ya high tempo mdogo mdogo sasa hivi kapunguza speed na hii track iko kinda slow....flava tofauti kwa watu tofauri, kiwango cha video kinajieleza ndio maana imepigwa mtv/trace n.k DIAMOND kiboko!!!!
 
kwenye CELEBRITY FORUM main page ina THREADS ZA DIAMOND 16!!!!! Huwezi kuwa nobody ukapata threads 16 kwenye page moja...DIAMOND TANZANIA HII NI ZAIDI YA MWANAMUZIKI NI BRAND...........HATA KAMA HUMKUBALI HUO NDIO UKWELI

huyo mwana wao ana kathread kamoja tu tena ka kichovu kweli kweli.
 
ha ha ha ha hii ni sauti ya rais iliomshinda ibilisi kwa binadamu sio rahisi.....nice track,baada ya high tempo mdogo mdogo sasa hivi kapunguza speed na hii track iko kinda slow....flava tofauti kwa watu tofauri, kiwango cha video kinajieleza ndio maana imepigwa mtv/trace n.k DIAMOND kiboko!!!!

jamani kile kichupa kime tulia aisee Zile ni video level za Chriss Brown zile.
 
Katika hali ambayo si ya kawaida, msanii ambaye inaaminika anatafuta umaarufu kwa nguvu na kuchukiwa na wananchi wengi Tanzania (Diamond platinumz), kavunja record ya kuwa na thread nyingi kuwahi kutokea Katika mtandao wa jambo forum.

Kijana huyo ambae watu humchukia mdomoni huku moyoni wakiwa wamekufa wameoza, ndio habari ya mjini kwa sasa Katika media zote, mpaka kupiku enzi za msiba wa Kanumba, Sharo na hata wengine unaowajua wewe.
 
Napenda sana nyimbo zake ila nitafurahi akianza kupiga live show na kuachana na show za kutumia CD

yaah sio kama hawezi noo anaweza sana but cha msingi azingatie sana haya mambo ya live band mpango sana.
 
Back
Top Bottom