Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

aii nyotaaa.... nyota ndo tatizo languu...
ai nyotaaa... mpaka nalia pekeangu....
ai nyotaaa.... nyota ndo shida yaanguuuu.....
nyotaaaaaa..... umenizidi uwezo wanguu.....

Daah ume meza mashairi yote we mkali aisee.
 
alonifanya silalii, jua kaliii nitafute tukalee..... lakini hata hakujalii..... darling... akatekwa na waleee.....

hapana chezea aisee nishaimeza, ngoma iko poa sana fanya kuchomeka earphone usikilizie vitu lol hatariiiiii

Jamaa kaimba kwa hisia kweli kweli.
 
Mimi kama shabiki wa muziki ni,siye na team yoyote sijui kiba sijui diamond nasema hivi mashabiki msimdanganye kijana wetu

Diamond level yake ya,muziki inashuka tena kwa kasi mnooo hebu angalia nyimbo kama boom boom mdogo,mdogo na,huu nitampata wapi jamaa hajafika kwenye level yake

Ukwel ni kwamba wema na diamond hawajaachana kijana ametumia hii kitu kama kawaida yake ku creat attention yetu ili atoe ngoma mpya ambayo ni nzuri ingawa haijafika level zake

ukiangalia kwa makini karudia sauti tu za nyimbo zake kama mawazo na,kubana sauti but hakuna kipya.......Tumwambie ukweli kijana,wetu ili muziki wetu ukue siyo kushuka

Samahani kwa,wale mahaba niue au mahaba nipofue...

Kwa mwanadaresalama ndio kakutuma useme hivi? kamwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshinda ibilisi kwa mwanaderesalama sio rahisi.......
 
Wana jifanya wana ponda kumbe wanaumia wana imba kimya kimya jirani wana shida sana.

Nishasema hapa, ni vigumu sana kumuepuka Diamond. Wana act kumponda kujaza page tu.

Wanajitakia maradhi ya moyo tu. Diamond is the game, the ICON of East Africa.

Hakuna jinsi unaweza zuia influence yake.

ACTIONS..!! ACTIONS..!
 
baada ya kutoa nataka kulewa pia mlsema ndo mwsho wake,na pia mzk co ibada kwamba n lazma ufanye maisha yako yote
 
Ukwel ni kwamba wema na diamond hawajaachana kijana ametumia hii kitu kama kawaida yake ku creat attention yetu ili atoe ngoma mpya ambayo ni nzuri ingawa haijafika level zake
Haukatazwi kuendelea na hizo Conspiracy Theories...
 
Nachompendea diamond ni kitu kimoja tu HESHIMA anaheshim sana kazi yake anaheshim mashabiki pia anaheshim Media bila ubaguzi ni wasanii wachache wanaoweza kuzunguka media karibu zote tz kutangaza kazi yake big up kwake kuhusu ngoma mpya video imesimama aiseee
 
Sawa tumeshajuwa kama katoa single mpya, hizo zingine ni porojo tu kama za Le Mutuz.

Diamond yupo na Wema ila promo zake za kutengeza scandle zimepitwa na wakati.

Mi nilidhani kaachana na mafikra ya kizamani kupata kick- kumbe "amanzi ga nyanza!!"

Why does not he want to be at international level... I like Davido....the kick he has is his job well done...

Haya maproject ni balaa...
 
Wote wanategemeana dunia ya Leo opportunism is far beyond.....diamond wema zari nk......Zari anabusti Popularity same to the rest in row
 
huyu dada kwa hii vdeo ya chibu kaigiza vzuri sana aisee

Acha kwa level yake ni kweli kaharibu bt kuna mambo ame fanya vzur na kama atatilia umakini hope ndio mambo yatakayo kuwa id yake kimataifa kama arts ya uchoraji na ufinyanzi dogo kafanya poa sana japo kuna clip hazikuwa na umuhimu
 
nenda kwAmwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshindaga
ibilisi kwa mwanadaresalama sio rahisi....mwambie ajue
kutofautisha msalaba na + ,x na kuzidisha....ha ha ha ha mtaa wa saba
wamepanic!!!

Tubaki huku tu tunawaumiza mnoo maana wamesubiru video ya mwana mpaka wanaumwaaaa duuuu ni sawa na kuishabikia arsenal lazima uumweeee
 
Dinazarde embu watangazie, wale waliokuwa wanasubiri lift ya kubebewa kavideo kao ka mwanadareslam ndio wawahi kituoni, gari la platnumz ndio limetoka, wasije tena wakazubaa wakapitwa wakaanza oooh!! jamaa mchoyo, wachangamkie fursa hii.

Kavideo kao bana kamepotelea hewaniii watasema kameibiwaaa,namuombea atoe video nzuri akitia mbayaaa,,na hivi hua na ushabiki maandazii watanunajeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom