Mimi kama shabiki wa muziki ni,siye na team yoyote sijui kiba sijui diamond nasema hivi mashabiki msimdanganye kijana wetu
Diamond level yake ya,muziki inashuka tena kwa kasi mnooo hebu angalia nyimbo kama boom boom mdogo,mdogo na,huu nitampata wapi jamaa hajafika kwenye level yake
Ukwel ni kwamba wema na diamond hawajaachana kijana ametumia hii kitu kama kawaida yake ku creat attention yetu ili atoe ngoma mpya ambayo ni nzuri ingawa haijafika level zake
ukiangalia kwa makini karudia sauti tu za nyimbo zake kama mawazo na,kubana sauti but hakuna kipya.......Tumwambie ukweli kijana,wetu ili muziki wetu ukue siyo kushuka
Samahani kwa,wale mahaba niue au mahaba nipofue...