Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Sawa tumeshajuwa kama katoa single mpya, hizo zingine ni porojo tu kama za Le Mutuz.

Diamond yupo na Wema ila promo zake za kutengeza scandle zimepitwa na wakati.

Ali ataachia video lini au yuko kukopa anasubili kukamilisha contract na finca ili atoe video mwambie basi nimefika nilisije likamwacha tena .....
 
all the best maana si kuna ile special thread yake si habari zote mueke huko jamani


Ali ataachia video lini au yuko kukopa
anasubili kukamilisha contract na finca
ili atoe video mwambie basi nimefika
nilisije likamwacha tena .....
 
Ndani ya saa24 viewers zaidi ya laki moja,kijana yuko sawa.
 
Kule insta kuna mdau katoa bonge moja la idea kwamba Dr Diamond apige east and central Africa tour aitangaze hii kazi yake mpya na zingine ili azidi kujiweka mahali pazuri...good idea kwa kweli
 
Back
Top Bottom