Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kushuka lazima ashuke kama wenzake mr. Nice, Saida Kaloli ila kutoa wimbi mbovu siyo ndiyo ameshuka
 
Yaani ni kweli sijavutiwa sana na huu wimbo naona wimbo wote ni madongo kwa wema na ali kiba hauna fundisho lolote halafu kuact na wazungu wala sijaelewa mbona waafrica ni wazuri sana huu ndio ukweli sio kumchukia wala nini Nyi esijui timu domo pokeeni maoni ya watu pia msitake kusifiwa
 
Kavideo kao bana kamepotelea hewaniii watasema kameibiwaaa,namuombea atoe video nzuri akitia mbayaaa,,na hivi hua na ushabiki maandazii watanunajeeee

hahahahaha alikuwa anasubili gari ndio ishafika awahi siti mapema
 
Mi nilidhani kaachana na mafikra ya kizamani kupata kick- kumbe "amanzi ga nyanza!!"

Why does not he want to be at international level... I like Davido....the kick he has is his job well done...

Haya maproject ni balaa...

vipi? alikiba yeye ni maarufu wapi?
 
Yaani ni kweli sijavutiwa sana na huu wimbo naona wimbo wote ni madongo kwa wema na ali kiba hauna fundisho lolote halafu kuact na wazungu wala sijaelewa mbona waafrica ni wazuri sana huu ndio ukweli sio kumchukia wala nini Nyi esijui timu domo pokeeni maoni ya watu pia msitake kusifiwa

Asante ndugu yng kwa kusema kweli
 
Back
Top Bottom