Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtakubali tu taratiiiibuuu team kiba wana anaza kuzima sigara.karibuni sana.
nimekupenda buree
diamond uwezo wake mdogo wa kutunga mashairi
onyesha uwezo wako mkubwa hivi unafiki kutunga mashairi magumu ndio kujua mziki
Wenye wivu mfe tu jaman naona pumzi ndogo, ,Daimond Shikamooooo
wamefyata leo kimyaaa.
Wanahaha thread et ziunganishwee,mara oooo ina maana hamna wasanii wengiineeee
sorry umetoka njee ya madaKuna yule mpiga picha wa diamond alikua humu jf sijui yuko wapi now days, kama sikosei anaitwa heaven on desert
Diamond kweshiney nimesiki huo wimbo wake hamna kitu
Tena kuna vijana wengi tu wameachia ngoma zao week hii wamemfunika chibu bye bye Domo mr nice yuleeee anakusubiri kona bar mkacheze pool table!!
utasubiri miaka 800 level yake ishuke
nmekuelewa....Dimond return 4 the king atasubir sanaaaa