Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mimi kama shabiki wa muziki ni,siye na team yoyote sijui kiba sijui diamond nasema hivi mashabiki msimdanganye kijana wetu

Diamond level yake ya,muziki inashuka tena kwa kasi mnooo hebu angalia nyimbo kama boom boom mdogo,mdogo na,huu nitampata wapi jamaa hajafika kwenye level yake

Ukwel ni kwamba wema na diamond hawajaachana kijana ametumia hii kitu kama kawaida yake ku creat attention yetu ili atoe ngoma mpya ambayo ni nzuri ingawa haijafika level zake

ukiangalia kwa makini karudia sauti tu za nyimbo zake kama mawazo na,kubana sauti but hakuna kipya.......Tumwambie ukweli kijana,wetu ili muziki wetu ukue siyo kushuka

Samahani kwa,wale mahaba niue au mahaba nipofue...
 
Diamond kweshiney nimesiki huo wimbo wake hamna kitu
Tena kuna vijana wengi tu wameachia ngoma zao week hii wamemfunika chibu bye bye Domo mr nice yuleeee anakusubiri kona bar mkacheze pool table!!
 
Diamond kweshiney nimesiki huo wimbo wake hamna kitu
Tena kuna vijana wengi tu wameachia ngoma zao week hii wamemfunika chibu bye bye Domo mr nice yuleeee anakusubiri kona bar mkacheze pool table!!

siyo level zake ule wimbo kabisaaaaaaa
 
Back
Top Bottom