Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kule wanajfanya wana maneno ya shombo so nkijprtend ustaarabu watanpanda kchwani.ngoja tukapeane makavu laivu so nkpgwa ban bac nyie endeleen kulisongesha mdogomdogo

kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kule kuna watoto wengi wa first &second year wengi wao ni washamba na malimbukeni wa mji,i mean wametoka vijijini wamekuja mjini juzi but wana jifanya watoto wa mjini.....so wapotezee kiaina ume wavuruga vya kutosha sasa hivi tulia huku huku.
 
sie wasafii kwetu kumetuliaaa,
 
yaan wanajfanya wajanja kumbe washamba tu kama msanii wao kuvaa suruali bila mkanda katika ile nyimbo ya dushelele na nainai
 
yaan wanajfanya wajanja kumbe washamba tu kama msanii wao kuvaa suruali bila mkanda katika ile nyimbo ya dushelele na nainai

Tafuta uzi mmoja hivi una title ya "usafiri dar mtwara ume nikosha" mule ndani uta kakuta kale kadada ka geniveros kanavyo funguka enzi zako za utotoni mtwara daah leo ana jiita mtoto wa mjini kama sio ushamba na ulimbukeni kitu gani?
 
Last edited by a moderator:

amesahau mjini alikuja na jembe akidhani lami pia inalimwa
 
Last edited by a moderator:
Jamani msiende kutukanana kule kwenye uzi wao jamanii,,,,,sie tuendelee na uzi wetu,,ni hayo tu wapendwa
We jukwaa hili lote anaeongelewa ni Daimond, thread ni za daimond wao ni kathread kamoja tu acheninao Opera Min zai katoto plizzzzzzzzzz kuna nyuzi nyingi za Daimond na sie ndio tumetawala hili jukwaaa habari ndio hiyooooo
 
Last edited by a moderator:
Diamond atauwa watu vifua vinawabana tuuu yaillah mie nawahurumiaaaa video ya nitampata wapi kila saa inachezwaa wale wa Mwana wapii hamsikiki kwisha habarii yenu sie ni vitendo tu nyie endeleeni kuongeza page sie tunatoa video safiii na nyimbo safiiii
Lazima mtofautishe mwaka huu X na kuzidishaaaa
 
mwana sijaisikia nna mwezi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…