Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu raha sana kusoma comment! yani full vituko!
Diamond ndio habari ya Tanzania, ila watanzania wengi tuna wivu wa kipuuzi.
kule wanajfanya wana maneno ya shombo so nkijprtend ustaarabu watanpanda kchwani.ngoja tukapeane makavu laivu so nkpgwa ban bac nyie endeleen kulisongesha mdogomdogo
kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kule kuna watoto wengi wa first &second year wengi wao ni washamba na malimbukeni wa mji,i mean wametoka vijijini wamekuja mjini juzi but wana jifanya watoto wa mjini.....so wapotezee kiaina ume wavuruga vya kutosha sasa hivi tulia huku huku.

yaan wanajfanya wajanja kumbe washamba tu kama msanii wao kuvaa suruali bila mkanda katika ile nyimbo ya dushelele na nainai
Tafuta uzi mmoja hivi una title ya "usafiri dar mtwara ume nikosha" mule ndani uta kakuta kale kadada ka geniveros kanavyo funguka enzi zako za utotoni mtwara daah leo ana jiita mtoto wa mjini kama sio ushamba na ulimbukeni kitu gani?
amesahau mjini alikuja na jembe akidhani lami pia inalimwa
Diomond ndio Mcheza Show wa Band Gani?
amesahau mjini alikuja na jembe akidhani lami pia inalimwa
Nimekumiss sana...
Mi pia nambie mpendwa uko byeeee
Aise Diamond akafunika Iringa.Ni sheeeeda nyingine mjini
Diamond atauwa watu vifua vinawabana tuuu yaillah mie nawahurumiaaaa video ya nitampata wapi kila saa inachezwaa wale wa Mwana wapii hamsikiki kwisha habarii yenu sie ni vitendo tu nyie endeleeni kuongeza page sie tunatoa video safiii na nyimbo safiiii
Lazima mtofautishe mwaka huu X na kuzidishaaaa
Niko Byee...nlikuwa naangalia le super video nitampata wapi...hainiishi hamu jamani