zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Diamond msanii mahiri sana
no one like him in tanzania,watasubiri sana kwenye bench ili kufikia levo zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond msanii mahiri sana
vp lakini nyota anayo
mtaa wa pl wameshaanza kumfanansha kibakuli na shaban robert,kaz kwel kweli

Jamani kuna mtanzania mmoja nimemmiss je,#nitampata wapi?
Niko hapa.......
Nyota ndiyo tatizo la mtaa wa pili
Sasa ndo tumejua tofauti X na zidisha!!
Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanao mtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".
Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na kuiwakilisha Tanzania kimuziki basi mnakaribishwa hapa mje mtoe maoni yenu kwa management na team Diamond kwa ujumla wapi wanakosea wapi waongeze juhudi wapi wajirekebishe ili kijana aendelee kua "the baddest musician" in Tanzania na East Africa kwa ujumla.
kukosoa pia ni ruksa kwani no body is perfect.
Wale jirani wenye chuki,wivu na roho mbaya kwa vijana wenzao wanao onyesha mafanikio pia wana karibishwa humu ndani kutoa changamoto,kukejeri,kudharau na kutukana pia mnaruhusiwa kama mna akili timamu.
karibuni sana wadau.
![]()
wazo nililo nalo ni kwamba zifanyike jitihada kumpata diamond au management yake waje live kwenye hii thread ili waweze kuchat na kujibu maswali mbali mbali ya fans,pia itakua wakati muafaka wa wewe fan wa diamond kutoa ushauri wako kwake,nadhani hii kitu ina weza kuboresha mambo mengi sana.
Chinga One, el nino service zai katoto Dinazarde, data Eshy m.s kimugina mxsdk chige binti kiziwi.
mnaonaje hii idea?

sredi iko mbali now replies 1000.. we the best
wazo nililo nalo ni kwamba zifanyike jitihada kumpata diamond au management yake waje live kwenye hii thread ili waweze kuchat na kujibu maswali mbali mbali ya fans,pia itakua wakati muafaka wa wewe fan wa diamond kutoa ushauri wako kwake,nadhani hii kitu ina weza kuboresha mambo mengi sana.
Chinga One, el nino service zai katoto Dinazarde, data Eshy m.s kimugina mxsdk chige binti kiziwi.
mnaonaje hii idea?
hilo wazo ni muafaka kabisa!wazo nililo nalo ni kwamba zifanyike jitihada kumpata diamond au management yake waje live kwenye hii thread ili waweze kuchat na kujibu maswali mbali mbali ya fans,pia itakua wakati muafaka wa wewe fan wa diamond kutoa ushauri wako kwake,nadhani hii kitu ina weza kuboresha mambo mengi sana.