zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Sizitaki mbichi hizi achana nao wapuuzi tu.
diamond anawapa malaria mtaa wa pl bla ya mbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizitaki mbichi hizi achana nao wapuuzi tu.
yaan hawana cha kujadl zaid ya diamond na maisha ya watu,mwanzo mwsho n diamond tu,kumbe wanazpenda story zake
diamond anawapa malaria mtaa wa pl bla ya mbu
Wata ugua mazima.
upande ule umejaa watu flani hivi wanafiki wanapenda kujadili watu wameshindwa kumpa sapoti mfalme wao uchwara wana jadili maisha binafsi ya watu,wamfundishe mtu wao jinsi ya kuvaa aonekane kisanii sio kama muuza chipsi.
yaan acha,maelezo ya kchwa cha habar yanasema kumshauri msanii wao lakn cha kushangaza anashauriwa diamond
Diamond mi msanii wa wote wanaouzungumza kiswahili...ni haki yao mkuu
Mi mimedownload na bado Youtube kama kawaidaDuh... ushanitamanisha, ngoja niiangalie tena!
Diamond mi msanii wa wote wanaouzungumza kiswahili...ni haki yao mkuu
We unafkiri hawana wimbo wa Nitampata wapi kwenye michina yao
Huu uzi unakimbia sana kuliko wa Ally Kiba,maana hit 1000 wakati una siku 11 tu wakati wa Ally Kiba una siku 32 hata hajahit wachagiaji 2000
yaan acha,maelezo ya kchwa cha habar yanasema kumshauri msanii wao lakn cha kushangaza anashauriwa diamond
huku hatuna makuzi ni mwendo wa vipara mdogo mdogo tu mpaka tutafika tunakoenda.
Jamani kuna mtanzania mmoja nimemmiss je,#nitampata wapi?
Una mpendaga sana?
Sasa ndo tumejua tofauti X na zidisha!!