Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Naona unahaha kama mbwa jike aliye kwenye heat! Tulia kijana unyolewe nywele kote kote.

We tukana tu unavyo penda ila jua tu sito kujibu kwa lolote mwisho wa siku utajiona ms###ge tu.
 
walisema uzi ume doda ha ha ha cheki wiki mbili tu page hamsini na hakuna kupeana ofa huku ili kujaza page.
 
Nitampata wapiiiii ipo juuuuu sichoki kuisikilizaa
 
upande ule umejaa watu flani hivi wanafiki wanapenda kujadili watu wameshindwa kumpa sapoti mfalme wao uchwara wana jadili maisha binafsi ya watu,wamfundishe mtu wao jinsi ya kuvaa aonekane kisanii sio kama muuza chipsi.
 
mbeba zenge bhana ninapofanya concrete mix anasaidia kazi huyu boya
 
upande ule umejaa watu flani hivi wanafiki wanapenda kujadili watu wameshindwa kumpa sapoti mfalme wao uchwara wana jadili maisha binafsi ya watu,wamfundishe mtu wao jinsi ya kuvaa aonekane kisanii sio kama muuza chipsi.

yaan hawana cha kujadl zaid ya diamond na maisha ya watu,mwanzo mwsho n diamond tu,kumbe wanazpenda story zake
 
Back
Top Bottom