Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Unaona sasa... kumbe mtaji wa kuanzia ni wa kumwaga... nami napiga bei mikorosho yote... mikorosho nini bwana, wakati migesi imejaa hadi sebuleni! Yaani lazima nikutafute tuanze mikakati...

Wala usijali....ila ukifika bungeni utakuwa na kibarua cha kumlinda My Daktari....manake nae kashachukua jimbo bado kuapishwa tu....Naogopa wasije kuniibia kama Machemli nikapatwa na Magharibi ya roho mie....utakuwa bega kwa bega na Shem wako......
 
Kaka wote kwa chibu tulianza kwa kusitasita lakini sahivi hutuambii kitu....
Hapo kwenye jitihada hebu kamata hii hapa.
 
Attachments

  • 1416911305775.jpg
    26.2 KB · Views: 93

Yaani wakija utashangaa wataanza kusema hayo uliyoyasema kama hawana utimamu.
 
bado ananijia ndotoni ila nikiamka simwoni,bado ananijia nikilala hakiyamungu sio masiharaaa
 
bado ananijia ndotoni ila nikiamka simwoni,bado ananijia nikilala hakiyamungu sio masiharaaa

Tololotoo totooo tololololoooooooo kale kabeat kanavotwanga hapo halafu pale anapodance na yule mrembo daaaaaah ni hatwariii etiii
 
wanapita hapa kimya kimya presha ikipanda wanaenda kujipa matumaini kwenye ule uzi wao, wenye comments za kupeana moyo wao kwa wao, nothing about kiba

waache wajipe moyo kwa sababu baada ya mwaka mmoja watarud kama mwaka jana tu
 
Wala usijali....ila ukifika bungeni utakuwa na kibarua cha kumlinda My Daktari....manake nae kashachukua jimbo bado kuapishwa tu....Naogopa wasije kuniibia kama Machemli nikapatwa na Magharibi ya roho mie....utakuwa bega kwa bega na Shem wako......
Wewe Kim nana, sie wengine mungu ametunyima akili za darasani, zile za kupata mi A mi B lakini akili za kuweza kuunganisha herufi na herufi na kupata neno, kisha neno na neno na kupata sentensi, mashallah, mwenyezi mungu uwezo huo katujaalia! Ukiandika tena post kama hii moja ya ziada au mbili, trust me, I'll shortly know who's this sister of mine in the name of Kim nana! Lakini kama ni ulinzi, ondoa shaka ila kama amekula za Escrow, nitamtanguliza mwenyewe machinjioni na kumwelekeza kibla ... tena umenikumbusha, ngoja nirudi jukwaa la siasa mara moja manake nina hasira haijapata kutokea!
 
Last edited by a moderator:
waache wajipe moyo kwa sababu baada ya mwaka mmoja watarud kama mwaka jana tu
Sijui kwanini @Moderators wameondoa ile feature iliyokuwa inaonesha "Users who view this posts...!" Dah, manake ingekuwa tunawa-enjoy ile mbaya wanavyotusoma huku wakiwa wamefura kwa hasira na husuda!!!
 
wanapita hapa kimya kimya presha ikipanda wanaenda kujipa matumaini kwenye ule uzi wao, wenye comments za kupeana moyo wao kwa wao, nothing about kiba
Ahh, wapi... hawapiti wala nini... wanatulia kabisa na vigoda vyao... inda ikiwabana, wanaenda yuu tyubu na kuangalia "Nitampata Wapi"... stress zikipungua ndo wanarudi kwenye post yao kuangalia ikiwa Papaa Matola ametoa ofa mpya!!! Nchi ina viroja hii...
 
nime tulia zangu maskani baada ya kazi now nakula ngoma za diamond.....hii kitu nita mpata wapi ni matata sana hasa uisikilize kwenye kiki la home theatre duuh balaa tupu.
 
nime tulia zangu maskani baada ya kazi now nakula ngoma za diamond.....hii kitu nita mpata wapi ni matata sana hasa uisikilize kwenye kiki la home theatre duuh balaa tupu.

Ni Cheeecheeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…