Ukizimia na m 800 zipo jirani yako, basi hadi unapata fahamu hesabu utakuta elfu nane za panadol... it doesn't matter wakati unazimia ulikuwa na nani...We acha tu....yani nlikuwa nawaza kwa mfano napewa milioni 800.....Ningezimia kwanza.....
We acha tu....yani nlikuwa nawaza kwa mfano napewa milioni 800.....Ningezimia kwanza.....
Ukizimia na m 800 zipo jirani yako, basi hadi unapata fahamu hesabu utakuta elfu nane za panadol... it doesn't matter wakati unazimia ulikuwa na nani...
nampenda platnumz!... uwiiiiii
nampenda platnumz!... uwiiiiii
kama kumpenda huyo platnumz ni upofu basi mimi nmezaliwa nao
We acha tu....yani nlikuwa nawaza kwa mfano napewa milioni 800.....Ningezimia kwanza.....
Itakuwa umemsaidia sana ili azitafune bia mayowe... hata kama ni daktari wako, ataishia tu kusema "ah hata hivyo, afadhali tu!"Hahahaaaa hapo ndo nitakufa kabisaaaa....
Na wewe nakuthemeaa....
ha ha ha mabilioni ya escrow yame impress wengi kuingia kwenye siasa pesa nje nje kule.
inavyoonyesha ungekufa kabisa na usizifaidi!!!! bora ubaki hivyo hivyo tusije kukosa michango yako JF!!
watu wanaenda had na magunia kwenye kuchota pesa we unazan mchezo. kuingia bungen raha sana
Itakuwa umemsaidia sana ili azitafune bia mayowe... hata kama ni daktari wako, ataishia tu kusema "ah hata hivyo, afadhali tu!"
Itakuwa umemsaidia sana ili azitafune bia mayowe... hata kama ni daktari wako, ataishia tu kusema "ah hata hivyo, afadhali tu!"
Pata picha mama tiba kabeba kiroba cha bilioni kadhaa duuh huku chenge aki mfuata kwa nyuma ha ha ha usicheze na pesa aisee
Nakusemea kwa shemeji.....