Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

We acha tu....yani nlikuwa nawaza kwa mfano napewa milioni 800.....Ningezimia kwanza.....
Ukizimia na m 800 zipo jirani yako, basi hadi unapata fahamu hesabu utakuta elfu nane za panadol... it doesn't matter wakati unazimia ulikuwa na nani...
 
Ukizimia na m 800 zipo jirani yako, basi hadi unapata fahamu hesabu utakuta elfu nane za panadol... it doesn't matter wakati unazimia ulikuwa na nani...

Hahahaaaa hapo ndo nitakufa kabisaaaa....
 
We acha tu....yani nlikuwa nawaza kwa mfano napewa milioni 800.....Ningezimia kwanza.....

inavyoonyesha ungekufa kabisa na usizifaidi!!!! bora ubaki hivyo hivyo tusije kukosa michango yako JF!!
 
inavyoonyesha ungekufa kabisa na usizifaidi!!!! bora ubaki hivyo hivyo tusije kukosa michango yako JF!!

We acha tu bora nibaki hivi hivi....manake ningekuwa full kucheka Cheka peke yangu......hahahaaa mil 800.....
 
watu wanaenda had na magunia kwenye kuchota pesa we unazan mchezo. kuingia bungen raha sana

Pata picha mama tiba kabeba kiroba cha bilioni kadhaa duuh huku chenge aki mfuata kwa nyuma ha ha ha usicheze na pesa aisee
 
Itakuwa umemsaidia sana ili azitafune bia mayowe... hata kama ni daktari wako, ataishia tu kusema "ah hata hivyo, afadhali tu!"

Duh...Hatari sana....Yani pesa bila kuitolea jasho unakuwa huamini amini hivi.....! Unaweza kujifinya kidogo huku unajiuliza ndo Mimi au?
 
Itakuwa umemsaidia sana ili azitafune bia mayowe... hata kama ni daktari wako, ataishia tu kusema "ah hata hivyo, afadhali tu!"

kuna gazet wamepiga mahesabu endapo atapewa kijana wa miaka 18 then kila siku apewe laki tano had akifika umri wa miaka 75 atakuwa ametumia bilion 10 tu yaan atakuwa amebakisha mkwanja mrefu sana bado
 
jamani mmewaona diamond na mamaake huko insta??... aisee wamependezaaaaaa..
nimewapenda kwakweli
 
Back
Top Bottom