Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Huyu Zarina hata hajapendeza, gauni sijui hajapiga pasi.. tumbo hiloo.. mama D kamfunika vibaya sana.
 

Attachments

  • 1417284660440.jpg
    52 KB · Views: 182
Wapi Ma mkweeee......nachompendea hachagui mkwe...atayeletwa ye twende tuu...

Hata akiwa jimamaa, mkwe ni mkwee
Hata akiwa kicheche, mkwe ni mkweeee.

Mama Mkwe hachagui habagui....

Zarina leo alikua anamtembeza kwenye mitaa ya Jo’burg
 
Mama mkwe hatareee,anakayeolewa hapo kazi anayo.mwisho wanne Dini inaruhusu
 
Wapi Ma mkweeee......nachompendea hachagui mkwe...atayeletwa ye twende tuu...

Hata akiwa jimamaa, mkwe ni mkwee
Hata akiwa kicheche, mkwe ni mkweeee.

Mamkwe anaonekana anapigwa na visengereti boy huyu tena ukute tena wengine ni rafiki za Daimond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…