Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hatare......... Mama Dai kapendeza
Attachments
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatare......... Mama Dai kapendeza
Ngoja nimwekee Dina mapichaYap yani nimempenda mama dai kapendezajeee... yani she looks young
Ngoja nimwekee Dina mapicha
Wapi Ma mkweeee......nachompendea hachagui mkwe...atayeletwa ye twende tuu...
Hata akiwa jimamaa, mkwe ni mkwee
Hata akiwa kicheche, mkwe ni mkweeee.
Huyu Zarina hata hajapendeza, gauni sijui hajapiga pasi.. tumbo hiloo.. mama D kamfunika vibaya sana.

Mama mkwe hatareee,anakayeolewa hapo kazi anayo.mwisho wanne Dini inaruhusu