Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ya kweli haya jamani?stress zipi?

Ya kuhongwa BMW na bwana mwingineeee.....Shost kwanza niache nimwage radhi...Huyo Michirizi tupa kureeeeeee....

Watu Zariiiii, Zariiiiiiiiii.....
 
Hahaaaaa wafuasi wake wanasoma kimya kimya huku wamevimba sura lol wanasonyajeee hadi wanajing'ata

Heheeeeeeeeeeeeeee jamaniiiii tujiandae kumpokea sipati pichaaa watu watafurikajeeeeeeee, ,,,,,hasira zikiwazidi wanye boga au fenesi
 
Ya kuhongwa BMW na bwana mwingineeee.....Shost kwanza niache nimwage radhi...Huyo Michirizi tupa kureeeeeee....

Watu Zariiiii, Zariiiiiiiiii.....
Jamani punguza munkari,kumbe alihongwa,basi hatari,jamani michirizi ndo nani tena?
 
Jamani punguza munkari,kumbe alihongwa,basi hatari,jamani michirizi ndo nani tena?

Yani nina mzuka kama nimepata mgao wa escrowwww.....Dai tupoze weeeee ndo tushaibiwa hivooooo......

Michirizi ndo Wema....ukibisha kamuangalie vizuriiii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…