Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Si unanijuaaa hhhhhhhaaaaaaa wanasingizia wapo busy na Escrow hehhhheeeee wapiiiiii

Bize na Escrow wapi? ???? Pyeeeeeeeeee Wabunge wenyewe washalala wao ubize nini! !! Nimesikia mtu fudenge eti happy birthday kiba, usijali tuko bize na Escrow! Heheheeeeeeee hata wakivaa miwani ya Chuma Tuzo wataziona tyuuuuuuu!
 
Heheeeee wanahara sasa hiviiii nimeona si wamejua uzi utadodaaa haeeeeee haeeeeeeeeeessss@heaven On Earth mapichaaaaaaaaaa
 
Jamani,huyu diamond hana adabu kabisa REALLY i tell you. Yan ananifanya mtu mzima tena dume la mbegu nitokwe na MACHOZI hv. Yan frusration zote za ESCROW zmotoka. Thanx man.3 bila till now.
 
hahaaaa kuisahau escrow mbele ya chibu ni lazimaaaaaa
 
Aisee ile siridi nyingine imejaa VUMBI hiyo sijui wafuta vumbi wameenda wapi?
 
Jamani,huyu diamond hana adabu kabisa REALLY i tell you. Yan ananifanya mtu mzima tena dume la mbegu nitokwe na MACHOZI hv. Yan frusration zote za ESCROW zmotoka. Thanx man.3 bila till now.

Hongera sana kwa Kijana wetu.
 
Diamond kashinda tatu kati ya nne alizokuwa akiwania...congratulations chibu, kimbitsza kimbitsza (kwa sauti ya G nako warawara)
 
Majirani wa bwana mcharo bado wanaongeza juhudi za kufuta vumbi, nahisi wanasugua kabisa maana kitu kilikuwa kichafu sana, ili mfalme akae awaaze kutawala....... Ni shidaaa
 
Back
Top Bottom