Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hongera sana diamond & thanks for taking Tanzanian flag beyond borders
 
Majirani wa bwana mcharo bado wanaongeza juhudi za kufuta vumbi, nahisi wanasugua kabisa maana kitu kilikuwa kichafu sana, ili mfalme akae awaaze kutawala....... Ni shidaaa

mmmh Sasa hicho kiti kitang'aa lini Mfalme akalie mana miaka inazidi kukatika asee!
 
mi nishasahau habari za escrow hapa, au chibu katumwa na wale mafisadi aje kutuvuruga akili sie

Ukute wamempigia kura wale wezi.....ila watajijua wenyewe sie tunataka rahaaaaaaaa.....
 
mme muona wema insta?? eti kampa hongera kaka chibu,,,,,
mmmh sikuizi anamuita kaka Dinazarde ukuje huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom