Siamini macho yangu kama Davido katoka kapa
Davido mwisho Lagos.......
Urakoooooooooze Diamond,ndakukunda sana sana.
meona eeeh!.....
Urakoooooooooze Diamond,ndakukunda sana sana.
Nimeona siku nyingiiii....basi tu nlikaa kimyaa....hahahaaa...
Majirani wa bwana mcharo bado wanaongeza juhudi za kufuta vumbi, nahisi wanasugua kabisa maana kitu kilikuwa kichafu sana, ili mfalme akae awaaze kutawala....... Ni shidaaa
mmmh Sasa hicho kiti kitang'aa lini Mfalme akalie mana miaka inazidi kukatika asee!
Jamaniii Mbona anatupa raha hadi anapitilizaaaaaa.......mxiuuuu zakeee....
mwishowe kibomoke lol
hahahahahahahahaaaa umeonae anatupa raha mpaka anaboa yani, mxiuuuuu zake kabisaaaa.
Mpaka hasira za escrow zimeisha bwanaaa....nyoko zakeee....
mi nishasahau habari za escrow hapa, au chibu katumwa na wale mafisadi aje kutuvuruga akili sie