kwenye mtv base walisema et palipo davido daimond hakai.daaaah hii ni suprise mbaya sana kwao
Hahaaaa nini sasa?
Nimeuona uwepo wako...hongera diamond na wewe shabiki yake..!
By the way vp chuo......hv n dodoma region vile...2nd year
Hapa ni diamond hizo mambo nyingine hapa hazihusuu
Karibu tushare furaha
Nyoooo eti kaka chibuuuu! Anatamani yeye ndo angeenda nae huko south pumbafuuuuu
Hahaha sawa...teamdiamond
Huko kuna povuuuu msiendekoo wenye mioyo midogo
Ye alivyoendaga nae alipataga hamna......akae apumzike....Safari hii tumeenda na mamaaa....Dua ya mzazi hairudi nyuma....
Bibieee hapa tuzo tu...majungu wakae Nayo. Wana kazi ya kujadili watu tuu...Ushabiki matusi.
Hhhhhaaaaa
Wanamtia nuksi tu Kiba wa watu..ndo mana hafanikiwi....
Na hiyo video ndo wasahauu....
Meona eeh mama nae katia baraka zake pale...
Nimewachokozaajee povu hilo oiooo
Nimewachokozaajee povu hilo oiooo
Wenzio wana kiwewe....chezea tatu bilaaa...
Nyokoooooo zake in mama mchiriz's voice Diamond ananipa raha anavowanyima team ushuzi usingizi hahahahahaDaimond ni nyokoooooooooo elnino Chinga One upo wapiiiiiiiiiiiiiiiii tujiandae kumpokea airpot waliokua wanasema Dai anaanguka wataanguka waoooo
Evelyn Salt uamkeeee
KWA mara nyingine, kijana hajatuangusha.... aaahh, na leo tena nyama, mnatuumiza pua jamani!!!!The 2014 Channel O African Music Awards belonged to Cassper Nyovest and Diamond Platnumz tonight. They were both the biggest winners scooping three awards each. Cassper walked away with Most Gifted Male, Most Gifted Southern and the big one, the Most Gifted Video of the year. Diamond Platnumz on the other hand walked way with the Most Gifted Newcomer, Most Gifted Afro Pop and Most Gifted East. Olamide, Kcee, Wikzid and Tiwa Savage representing Nigeria bagged one each.Take a look at the full list of this years winners below and drop your comments.
Most Gifted Male
Cassper Nyovest – Doc Shebeleza
Most Gifted Female
Tiwa Savage ft Don Jazzy – Eminado
Most Gifted Newcomer
Diamond – Number One
Most Gifted Duo, Group or featuring
Kcee ft Wizkid – Pull Over
Most Gifted Dance
Busiswa ft Various – Ngoku
Most Gifted Ragga Dancehall
Buffalo Souljah – Turn Up
Most Gifted Afro Pop
Diamond – Number One
Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor – Y-tjukutja
Most Gifted R&B
Donald – Crazy but amazing
Most Gifted Hip Hop
AKA – Congratulate
Most Gifted Southern
Cassper Nyovest – Doc Shebeleza
Most Gifted West
Olamide – Turn Up
Most Gifted East
Diamond – Number One
Most Gifted Video of the year
Cassper Nyovest – Doc Shebeleza
mme muona wema insta?? eti kampa hongera kaka chibu,,,,,
mmmh sikuizi anamuita kaka Dinazarde ukuje huku