Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Nipo mkuu, yani nimefurahhhhh.... Wale wenzetu wako wapiiiii.!!

Hahahahaha... Watu wana utani, eti 'mwana' wimbo bora wa malezi!

Ha ha ha ha ha

hahaaaa kumbe upo nilijua upo south na wewe
 
Ivi wale wenzetu wanaongea nin saivi...?!?

Em nikawachungulie.....
 
Msikieni anacho ongea huyu mtu ha ha ha wameanza vijisababu vyao.


Topic: Tuzo 3 za My number one na Shebeleza :
Upendeleo wa wazi kabisa Channel O.

pinno 07:56 Today

Nimefuatilia nomination na washindi wa tunzo za
channel o music video awards 2014 kuna kitu
naona hakipo sawa,

Na nadhan kama hawa waandaji wataendelea hiv
Ni aidha tuzo zitakosa mvuto kwanza wa wasanii
wenyewe wanaojituma na kwa mashabiki wao.

Haiwezekan et wimbo wa Davido "Ayo" wenye
viewers karibu 13M ukose tuzo hata moja na
umekuwa nominated more than two times. Halafu
hapo hapo et wimbo usioeleweka wa Shebeleza
ujinyakulie tuzo tatu ikiwemo ya best video of the
year. Huyo msanii mwenyewe anajulikana South
Africa tu. Ahhhjj

Huu ni upendeleo wa waz kabisa kwamba Channel
O wamepanga ili kupunguza Domination ya mziki
wa Nigeria but kiualisia those guys are doing
good et.

Dance of the year, et Personally ya P square na
Ayo ya Davido zinakalishwa na Shebeleza
ambayo hata wanachocheza hakionekani.
Umekuwa ni Upendeleo wa wazi kabisa ambao
unafanya hata washindi wenyewe washindwe
kujisifu kwa kuona kuwa wamebebwa.

Lait My number 1 ingechukua tuzo hata moja tu na
hyo Shebeleza ikachukua tuzo moja then akin a
Davido na P square nao wakachukua zao
kihalali ,am telling you kungekuwa na impact
kubwa kuliko sasa ambapo zimeonekana kama ni
tuzo za maunderground.

Channel O TV Online | Full list of CHOAMVA
winners
 
Nipo mkuu, yani nimefurahhhhh.... Wale wenzetu wako wapiiiii.!!

Hahahahaha... Watu wana utani, eti 'mwana' wimbo bora wa malezi!

Ha ha ha ha ha

Wako busy kusikiliz nakshi nakshi mrembo.....kuna watu wapo outdated humu duniani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…