Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifanyeni tu hamuuoni mchango wa wema ntawachenjia sasa hivi ha ha haTeh teh teh kumbe english ya wema ndio ime mfanya mond apate tuzo ha ha ha
Wimbo bora wa maleziiiii....
Jifanyeni tu hamuuoni mchango wa wema ntawachenjia sasa hivi ha ha ha
Jifanyeni tu hamuuoni mchango wa wema ntawachenjia sasa hivi ha ha ha
Kusema kweli i like her nampenda wemaUna mkubali sana wema wewe.
Ha ha ha kiba atoe dedication kwa yule beki 3 wa uganda.
Nipo mkuu, yani nimefurahhhhh.... Wale wenzetu wako wapiiiii.!!
Hahahahaha... Watu wana utani, eti 'mwana' wimbo bora wa malezi!
Ha ha ha ha ha
Mkwaraaaaa Huoooooo....basi Wema kachangiaaa....kampa nanihiii hadi akili imekaa sawaa.....
Na yeye hongera zake.....
Ugomvi uishe madameee
Kusema kweli i like her nampenda wema
ha ha ha kama hamtaki mnye bogaaa
Kweney sredi fulani nahisi maboga yanagonga pichu zao hadi hawana jinsi... inabidi tu wakayanye ili tumbo lipumue!!ha ha ha kama hamtaki mnye bogaaa
Nipo mkuu, yani nimefurahhhhh.... Wale wenzetu wako wapiiiii.!!
Hahahahaha... Watu wana utani, eti 'mwana' wimbo bora wa malezi!
Ha ha ha ha ha
Ivi wale wenzetu wanaongea nin saivi...?!?
Em nikawachungulie.....
na njaa nazo zimechangia