Mi ni shabiki wa damu sana tu,ningeshuka saana kama ningekua na hakika dangote anasoma hapa.kwanza nampa hongera kwa discipline ya hela,pili kwa kipaji unachoendeleza.lakini nina shauri upitie kazi za wasanii wakubwa...kwa mfano waweza angalia beyonce,michael jackson kwasababu wao ni wanamuziki waburudishaji utajifunza mbinu mbalimbali za special appearances and shows.kwa sasa ukipanda stejini you are expected to do this and that na mwisho wa siku you dont go far from fans expectations.kuna siku ulienda dodoma kukawa na kesi za speakers na kipaza sauti...I believe waliokununulia x6 wangeweza kukupa vifaa vyako then unapokua na show unafunga mitambo yako unawapa watu burudani.unapoangalia kazi ya mtu jifunze kuendelea zaidi na si kucopy..mdogomdogo video na aye ya davido they are the same scripts different times...you could have done better.bado hauko comfortable kuimba kwa kiingereza,why release bumbum huku lyrics haziskiki?sitaki kukukatisha tamaa lakini lugha ngeni yaweza kufanya uwe kituko bure kama hujarelax.you need to have a serious manager,you need to practice vocal zaidi...ikibidi nenda shule ya vocal,unapenda kucheza...get a proffesionall dance teacher.mwisho wa yote kwnye hizi scandal zako za kina dada iko siku yatakukuta yaliomkuta samson wa kwenye biblia,maana issues za hawa mademu hauna pr nzuri either when you are approached by media au unapoamua kupost on social networks.kuna saa sijui kama ni kizungu shida ama ndo uchizi...movie na project?mie hoi.namaliza kwa kusema kila la heri diamond platnumz,chibu dangote ...mzeiyaa wa project....