Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Msisahau kumpigia kura diamond mkimaliza hayo matusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msisahau kumpigia kura diamond mkimaliza hayo matusi
Naelewa ila sitaki kuamini make nlikuwa nangoja harusi ya uwanja wa taifa kwa uchu sana kama naolewa mie vile
Msisahau kumpigia kura diamond mkimaliza hayo matusi
Msisahau kumpigia kura diamond mkimaliza hayo matusi
Hatujamtukana.kusudi kuu la mwanzisha uzi ni kuwakutanisha wapenzi na mashabiki wa diamond.ili kumshauri na kumsahihisha pale anapokosea ili azidi kupaa kimuziki na kimafanikio.sasa mzee wa ban anakuja kwa lengo tofauti.ndio maana tukamkimbiza.Mimi binafsi simpendi kibba lakini siwezi kwenda kwenye Uzi Wa kibba na kuanza kumponda kibba.huo
Usilolijua ni kama usiku wa giza, pole sana. Huwez kushindana na mimi kwa chochote we achana na mimi tu
daah yani warumi leo ume kubali kushindwa?
Kwa hiyo K ya Zara inachagua yenye elimu na pesa tu.kwa taarifa yako Zara ameshakuwa na wanaume ambao hawafikii hadhi ya diamond hata robo
Acha basi unawachonganisha ili moto uwake binam yangu ale ban eeee
Mi ni shabiki wa damu sana tu,ningeshuka saana kama ningekua na hakika dangote anasoma hapa.kwanza nampa hongera kwa discipline ya hela,pili kwa kipaji unachoendeleza.lakini nina shauri upitie kazi za wasanii wakubwa...kwa mfano waweza angalia beyonce,michael jackson kwasababu wao ni wanamuziki waburudishaji utajifunza mbinu mbalimbali za special appearances and shows.kwa sasa ukipanda stejini you are expected to do this and that na mwisho wa siku you dont go far from fans expectations.kuna siku ulienda dodoma kukawa na kesi za speakers na kipaza sauti...I believe waliokununulia x6 wangeweza kukupa vifaa vyako then unapokua na show unafunga mitambo yako unawapa watu burudani.unapoangalia kazi ya mtu jifunze kuendelea zaidi na si kucopy..mdogomdogo video na aye ya davido they are the same scripts different times...you could have done better.bado hauko comfortable kuimba kwa kiingereza,why release bumbum huku lyrics haziskiki?sitaki kukukatisha tamaa lakini lugha ngeni yaweza kufanya uwe kituko bure kama hujarelax.you need to have a serious manager,you need to practice vocal zaidi...ikibidi nenda shule ya vocal,unapenda kucheza...get a proffesionall dance teacher.mwisho wa yote kwnye hizi scandal zako za kina dada iko siku yatakukuta yaliomkuta samson wa kwenye biblia,maana issues za hawa mademu hauna pr nzuri either when you are approached by media au unapoamua kupost on social networks.kuna saa sijui kama ni kizungu shida ama ndo uchizi...movie na project?mie hoi.namaliza kwa kusema kila la heri diamond platnumz,chibu dangote ...mzeiyaa wa project....