Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Binam hongera kwa mastaz
Mpe hongera daimond
 

eh.,.! KWAHIYO UNATAKA NINI LABDA??
 
Kweli hapa hoja mchanganyiko!

Haswaaa!
Bwn marko , ndiyo mana hapa kuna wenye kutafuta dawa ya kunguni , dawa za kurefusha mabanzi , kuna wanaojifunza uvinza panazamiwaje! Escrow humuhumu, Tezi dume lipo hapa ect eticetera !
 
Last edited by a moderator:

hiyo masters hata yule beki tatu wa uganda alikuwa nayo na ww dejwi anakusubiri kiwandani kwake ukafunge sabuni....ELIMU SIO VYETI
 
hiyo masters hata yule beki tatu wa uganda alikuwa nayo na ww dejwi anakusubiri kiwandani kwake ukafunge sabuni....ELIMU SIO VYETI

Hata ukate viuno kiasi gani , masters sio mkund* useme kila mtu anao.

By the way hongera zake, ameonyesh kuwa no matter how your background is, your dreams are valid.
 
Pongezi kwa management ya chibu
 

Attachments

  • 1417338022679.jpg
    62.5 KB · Views: 109
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…