Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Napendekeza Diamond afungwe kifungo cha Maisha jela maana anatia presha wenzako mtaani...yaani hawasikiki kabisaaaa....waliishia kutengeneza majungu Fiesta tuuuuuu.....
swali:Je,kwa nini Diamond unatoa nyimbo nzuri kuliko wenzako? kwanini lakini ? adhabu yako ni kufungwe jela maisha kwenye gereza la u-superstar na ubaki humo milele!

Hahaaaaaaah you made my day lol.....
 
kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kule kuna watoto wengi wa first &second year wengi wao ni washamba na malimbukeni wa mji,i mean wametoka vijijini wamekuja mjini juzi but wana jifanya watoto wa mjini.....so wapotezee kiaina ume wavuruga vya kutosha sasa hivi tulia huku huku.

Hahahaaaaaaa.......
 
Ukitaka kujua Diamond nyoko angalia alivyoteka hili jukwaa...yani SAA hizi hata topic za Le Mbebez hazihit......!

Halafu bila ofa wala nini Uzi unasogea tu na vya kujadili vipo...hatujadili matusi.......aiiiiiiiiiiii........
 
Kule wanapeana hela na vya kujadili hawana sie ndo tunawasogezea uzi wao maana ukienda kule wanataka mjibishane ili uzi uende, ka vipi tusiende kule uone kama liuzi lao halitadoda....
 
Sasa watajadili nini kwa mfano? Hahahaaaa
 
Kama kazi ya muziki tuu!! Baba anapiga mabuti sio kitoto.. Mi mwenyewe nilikuwa nazingua japo ngoma zake za awali km Kamwambie nilikuwa nazkubali balaa, sahizi Am his fun!! Japo na wengine ni wanamuziki wazuri sana.. Bt he is Dangote, U know!!
 
Halafu wewe ndio wa kwanza kupiga simu XXL ya clouds ili upate ticket ya complimentary kuingia kwenye show ya Diamond!!

Waswahili ni sheedar.

hahaha Vip unataka kutoa zawadi na huku? Karibu mkuu.
 
Halafu wewe ndio wa kwanza kupiga simu XXL ya clouds ili upate ticket ya complimentary kuingia kwenye show ya Diamond!!

Waswahili ni sheedar.

naahidi kutoa 30,000 kwako ukitoa at least post moja ya ukweli kuhusu diamond [post moja per day for a week only]!
terms and condition:at least wapenzi watano wa DIAMOND jukwaa hili wathibitishe ni kweli ulichosema

cc: Moderator
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaaaa......uuuwiiiiiiii....
 
Last edited by a moderator:
naahidi kutoa 30,000 kwako ukitoa at least post moja ya ukweli kuhusu diamond [post moja per day for a week only]!
terms and condition:at least wapenzi watano wa DIAMOND jukwaa hili wathibitishe ni kweli ulichosema

cc: Moderator

hahaaaaaaah
 
cc: Chinga One
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom