Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
Napendekeza Diamond afungwe kifungo cha Maisha jela maana anatia presha wenzako mtaani...yaani hawasikiki kabisaaaa....waliishia kutengeneza majungu Fiesta tuuuuuu.....
swali:Je,kwa nini Diamond unatoa nyimbo nzuri kuliko wenzako? kwanini lakini ? adhabu yako ni kufungwe jela maisha kwenye gereza la u-superstar na ubaki humo milele!
Hahaaaaaaah you made my day lol.....