Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Huyu hapa Mr 3D
Tyeeeeeeenaaaaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hapa Mr 3D
Me sisemi sana
Asante Dada teddy
Huyo baunsa chachaaaa.....!
Tyeeeeeeenaaaaa....
Asante Dada teddy
Mbona naona ana tuzo nyingi hapo kasahau za wengine auuu
Mtaa wa pili wanatamani angekua ndio kiba teh tehhhhh
Hao walioanzisha Uzi kwamba kasahau tuzo ni mazuzu wa kupuuza hata kuwajibu hafai
Wamekunya mno maboga lazima wasahauuu kawawekee picha hebu
Ni wa kudharau tuu hao
![]()
MBONI MHITA
Nimetua Salama. Leo nikiwa kwenye ndege kutokea South Africa niligundua nimekaa na Diamond Platinum. Kwa shangwe na furaha na utaifa wangu nikamsalimia kwa bashasha nikiwa na lengo la kumpongeza. Jamani hiyo pozi aliyonifanyia. Je ucheshi wako mdogo wangu ni wa stage tu au? Bali sikuacha hivyo hivyo wakati wa kushuka nikamwambia mwenzie, kuwa wamfundishe mwenzao kuongea na mashabiki. Jibu lake..."Dada msamehe kakasirika maana kasahau tuzo South". Naomba ujirekebishe mdogo wangu........MBONI MHITA
Diamond hajielewi. Ni zuzu tu limbukeni wa umaarufu