Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mtaa wa pili wanapeana salam na dedication wamekosa cha kujadili.....
Rais kafunika mbaya leo, mapokezi si ya kitoto
Rais kafunika mbaya leo, mapokezi si ya kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya waje tayari.....bado mafikizolo bado iyanya bado kcee bado don jazzy bado Donald bado coco master na bado ommy dimpoz(najua hapa kwa dimpoz kuna watu wamesonya but trust me itakua bonge la kollabo) na bila kusahau WE'RE THE WORLD AFRICA #AFRICA ALLSTARS
Duuuh!kwa style hii harufu ya nyama nyumbani kwa mcharo lzm iendelee kupeleka shida kwa majirani....hard work pays
Wajameni musikwazike na gazeti hilo wala lisiwachoshe,nilitaka tu mtambue kuwa kijana wetu ni kioo kwa sasa kwa vijana wote wenye ndoto na UTHUBUTU na KUJITUMA.
Wajameni musikwazike na gazeti hilo wala lisiwachoshe,nilitaka tu mtambue kuwa kijana wetu ni kioo kwa sasa kwa vijana wote wenye ndoto na UTHUBUTU na KUJITUMA.
Mtanisamehe tuuuu kwa gazeti ntakalopost lakini lina maana kubwa sana
Mie pia napenda kazi zake na anavyojituma, kama alivyosema mdau hapo juu ni kweli anatakiwa kuwa na msemaji na sio kila kitu anachoulizwa na media ni lazima atoe majibu, mengine ayapotezee, haswa kuhusu private life yake
nmependa maneno yako
#mama yake p. Mwenyewe anapenda private zake ziwe kwenye media wewe uko chumbani na mpenzi wako unasambasa picha kam si ulimbukeni nini anatumia nguvu nyingi sana kuonyesha private zake kwa watu
Wajameni musikwazike na gazeti hilo wala lisiwachoshe,nilitaka tu mtambue kuwa kijana wetu ni kioo kwa sasa kwa vijana wote wenye ndoto na UTHUBUTU na KUJITUMA.