Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Anatakaje ss kujiita jina hilo ama ndio anatudharau cc nashabiki zake kwa alivyojiita daimond ilikuwaje leo atuletee jina la kisenge
 
wewe ni hater ujawahi kuona zuri la Diamond...ikibidi unaside ata na mnaijeria kumchawia dangote...shame on u na stress zako za life.

Hahahaha stress kila binadam anazo tofauti ni kiwango tu. Unataka wote tuwe na mtizamo mmoja? We kweli ma...ta..k..o. By the way hunijui sikujui hizo stress unazitambua aje? Kwa kifupi tu Nakula bure nalala bure so far na salio benki linasoma vile vile kila mwezi. Nisipofanya kazi nitalipwa hadi nipate kazi...upo hapo?? Ukiwa dunia ya kwanza huwezi kuwa na stress Kama za dunia ya tatu...though stress ndogo ndogo huwa zipo (as I said kila binadam ana stress). Hope utatuliza team libo...lo lako
 
na magari ya kina babu tale sielewi jamani mimi management yake inawaza nini
ISSUE SIO TUNZO AWE NA MAISHA LIKE A REAL BILIONEA JAMANI i wish.ana miaka kama 5 sasa kimziki au 6 na amepata umaarufu sana
jina sio issue jamani
issue ni raslimali uwezi imba milele jamani yanatokea mengi

Hahahahaaa huyo ndiye bilionea chibu dangote bwana.
 
Unaishi kwa emotion sana bin laden nadhan amekuwa na kihere here naye.. nliona davido katweet km utani aliweka hadi emoj kionyesha that twit was kinda joke tena alikuwa anareply lakini nyie na diamond ambae nasikia mshauri wake ni saidi fela na mama yake wakakurupuka... davido anaendelea kutwit twiy zake mnafikiri ni anamsema diamond

Haya ni mawazo ya kimasikini sana.. na kibiashara diamond kateleza kuingia bif ambayo haikuhitajika.

Hahahaaaa,kumbe washauri wake ni fela na mama yake?...lol
 
Hahahaha stress kila binadam anazo tofauti ni kiwango tu. Unataka wote tuwe na mtizamo mmoja? We kweli ma...ta..k..o. By the way hunijui sikujui hizo stress unazitambua aje? Kwa kifupi tu Nakula bure nalala bure so far na salio benki linasoma vile vile kila mwezi. Nisipofanya kazi nitalipwa hadi nipate kazi...upo hapo?? Ukiwa dunia ya kwanza huwezi kuwa na stress Kama za dunia ya tatu...though stress ndogo ndogo huwa zipo (as I said kila binadam ana stress). Hope utatuliza team libo...lo lako

We kiboko yao, hakirudi tena hapa basi atakuwa na roho ya paka.
 
Mshamba tena mshamba aswaaaaaaaa ona

1.Producer aliyemtoa shimoni baada ya kujiona katoboa akamletea dharau wakagombna Bob Jr akatoa kinyongo juu ya bwa mdogo ila billionaire Chibu anaonekana Ana kinyongo nae mpka kesho

2; baaada ya kukimbia sharobaro Record akaenda kwa Lamar akagonga moyo wangu baada ya kutusua akaleta dharau wakagombna ila Lamar kasema Ana kinyongo nae tena

3;Baada ya kukimbia kwa Lamar akaenda kwa Maneck hapa sasa akataka kuigeuza studio ya kwake yaan kama kuna beat maneck kamtayarishia mtu mwengne yy Bin laden Mond akifika anaibeba na kwenda kuifanyia kazi bila ruhusa,
Akaingia oficn akumkuta Maneck yy akadilit mistar ya hitmaker of mwana dsm kwenye wimbo ambao arimshirikisha ,maneck akashindwa kuvumilia wakatimuana mpaka Leo wapo kwemye beef

3;baadae akakimbilia kwa sheed na Tudd kwa shed akatoa no 1 ikahit na akairmx na fupi nyundo la naija jamaa akaweza Ku make Chibu famous,kwa tudd akaachia Mdogomdogo
Tayar shedd keshalalamika kwann kwenye nitampata wapi video akuna jina la prodcr wa wimbo ?

4; issue ya Davido Daimond kakosea Sana kwanza mlishaambiwa "Tanzania to Lagos I go make u famous " sasa iliwauma nn davido kutweet ?
Mlitakiwa muichambue tweet kwa makini cjui nyie mnafikiria kwa kutumia makalio ?

5;kumdharau mtu aliyetoa ruhusa kwa Bob Jr amrekodie Diamond et "akitaka nimsaidie kollabo aje nitamsaidia "

Kama anajua kwann alifuta vocal zake ?
 

Attachments

  • 1418296794658.jpg
    1418296794658.jpg
    41.1 KB · Views: 268
Back
Top Bottom