liverpool 1
Member
- Oct 13, 2014
- 79
- 11
Hajui kuishi na watuuu huyuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni hater ujawahi kuona zuri la Diamond...ikibidi unaside ata na mnaijeria kumchawia dangote...shame on u na stress zako za life.
Kuna ugomvi na wa Nigeria lakini bado anajiita Chibu Dangote.
na magari ya kina babu tale sielewi jamani mimi management yake inawaza nini
ISSUE SIO TUNZO AWE NA MAISHA LIKE A REAL BILIONEA JAMANI i wish.ana miaka kama 5 sasa kimziki au 6 na amepata umaarufu sana
jina sio issue jamani
issue ni raslimali uwezi imba milele jamani yanatokea mengi
me too miss u my dear niko busy ila niliko mtandao unasumbua sana airtel na tigo yaani ni shiida leo kila nikiingia unagoma
Mtoa mada kaleta mada kimajungu......
nikitiririka wenye msanii wao hawakawii kuniita hater hehehe bin ladden gaidi la kimataifa chezeya wewe
Unaishi kwa emotion sana bin laden nadhan amekuwa na kihere here naye.. nliona davido katweet km utani aliweka hadi emoj kionyesha that twit was kinda joke tena alikuwa anareply lakini nyie na diamond ambae nasikia mshauri wake ni saidi fela na mama yake wakakurupuka... davido anaendelea kutwit twiy zake mnafikiri ni anamsema diamond
Haya ni mawazo ya kimasikini sana.. na kibiashara diamond kateleza kuingia bif ambayo haikuhitajika.
Nendeni watz app na fb
Hapa ndipo ule msemo kuwa uswahili ni damu unatimia.
Hahahaha stress kila binadam anazo tofauti ni kiwango tu. Unataka wote tuwe na mtizamo mmoja? We kweli ma...ta..k..o. By the way hunijui sikujui hizo stress unazitambua aje? Kwa kifupi tu Nakula bure nalala bure so far na salio benki linasoma vile vile kila mwezi. Nisipofanya kazi nitalipwa hadi nipate kazi...upo hapo?? Ukiwa dunia ya kwanza huwezi kuwa na stress Kama za dunia ya tatu...though stress ndogo ndogo huwa zipo (as I said kila binadam ana stress). Hope utatuliza team libo...lo lako
We kiboko yao, hakirudi tena hapa basi atakuwa na roho ya paka.
Thanx, mi mzima kabisa.