Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Natamani siku moja iwepo ligi baina yenu?
Aisee,itakua kali sana.

Hahaha Mimi na Matola au? Hahaha huyu mlezi wa celeb ninamheshimu sana. Alafu siku hizi huwa anaongea point tu sio Kama 2011 nilipojiunga JF
 
Last edited by a moderator:
Ona hapa soma comments utakataa kujivunia Utanzania wako, kwakweli najisikia aibu kuna watu wameamuwa kutuchoresha kama Taifa.
Don't drag me to insta ili nikashuhuide upumbavu wetu... kinachoendelea kule ni ulimbukeni wa hali ya juu ambao unatosha kabisa kupima jamii ya Watanzania ni jamiii ya aina gani!!
 
Huwa sicomment Insta lakini kwa hili nilitaka kucomment lakini nilijisikia aibu sana nikaacha na isitoshe account yangu Insta natumia jina langu halisi.
Heri wewe huja-comment; binafsi, any social media inayotumia simu peke yake kv Instagram & WhatsApp, sizipendi... kimsingi, sipendi matumizi ya simu hususani linapokuja suala la ku-text... naona kama inanipotezea muda! Hata hivyo, juzi kwa mara kwanza huku nimepandwa na ghadhabu, nika sign up insta kwa lengo moja tu; nikapambane na hawa majuha! Hadi namaliza ku-sign up, akili yangu ikanirudia na kukumbuka methali kwamba, usishindane na mpumbavu kv watu hawataona tofauti kati yenu!
 
Kuna watu wana penda uhusiano wa dai na davido uvunjike ili wapate cha kuongea na wanadhani kama diamond na davido wakigombana labda chibu ataporomoka kimuziki that is a false hope.
Kuna fans mwenzetu kindaki ndaki mmoja nilimwambia humu jamvini kwamba hili si jambo la kushabikia coz' hawa hawa unaoona wanaojifanya kumtetea Diamond ndio kesho watageuka kuwananga nyie ambao mapenzi yenu kwa Diamond yanajulikana tangu zamani na kumwambia waungwana wanafurahia kujenga na sio kubomoa!
 
Mondi kapokewa kama rais mombasa ..ving'ora. . Ngoma za asili. . Aisee. . Hii nyota Hii ..
 
Not only too emotional ...we are also too insecure.
Tena kwa mtazamo wangu ni heri ya mtu aliye too insecure coz' s/he less confident and in fear of loosing what s/he has kutokana na hilo atajaribu kila awezalo so as s/he can protect it ili kisije kumponyoka!! Hata hivyo, sie watu, sijui kama kweli kuna kitu tunachoki-protect, labda tuongeze kwamba we're too insecure due to our inferiority complex!
 
Lil wayne anajiita young mullah...mullah ni design ya bin laden...ilo la kwanza

Pili.. acha majungu wala kumkatisha tamaa anaetaka kufanya jambo.. kama ww unajua zaidi mic zipo nyingi embu kamata tukusikie..

Tatu, majungu kama hayo kwa mtoto wa kiume haipendez,

Ushauri.... unapotaka kubadilisha jambo kwa jamii anza kubadilika ww au toa mfano wa namna gan lifanyike... na ni bora kuelekeza nguvu kwenye kazi na sio ken majungu

Umeongea kipashukuna kweli jamaa
 
IMG_20141212_110210.jpg


stay tuned TZ NEXT OFFICIAL WEBSITE
 
Haya mwenye matukio ya karibuni ya rais wa bongo flavour marekani atupe link
 
naona matusi kwa davido yameanza kupungua hope mkp j2 itakua kimya kabisa.
 
Back
Top Bottom