Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hata wengine walitisha hivyo hivyo.. Jasiri haachi asili.... Afya yake ni muhimu kuliko umaarufu wa papuchi!!!

Mkuu we nikuambia uniwekee list yako hapa inaweza kutisha kumpita chibu…!!! Kwa ufupi hakuna alietembea na mwanamke mmoja kaka na hakuna ambae ataman kuwa mwingine ambaye yuko vzr kwaiyo ponda kote lakin si suala la mapenz kaka…
 
Washabiki wake wakiambiwa ukweli video mbovu wanatoka mapovu! Tatizo msanii wao walizoea video za vigodoro
 
Msiiangaliee ile vdeo kimeooo, mtu kavaa maearphone makubwaaa
 
Huu Uzi wa wassssaffii umefunguliwaa...Safi sanaaa...
 
until now viewers 25000+mkuu chibu siku ile tulipiga ngapi?lazima watukome

Nakumbuka Diamond kabla ya masaa 24 kufika alikuwa na viewers zaidi ya laki...Kiba leo ni siku ya tatu ajafikisha laki moja. Diamond kiukweli yupo vizuri sana na anakubalika zaidi haswa nje ya nchi. Kiba nae anafanya vema akikaza anavyokaza nae atafika pazuri asilale tu sana.
 
kiba alitakiwa awe msanii wa kimataifa zamani sna hata kabla ya diamond kuna kauzembe flani alikafanya au ni kubweteka ile chansi ya one8 ndio ange itumia kutoka mazima but jamaa na unyonge unyonge wake akawa mnyonge kabisaaa now ndio hivyo tena chibu katumia nafasi huyoooo asha toboa anga za dunia...kazi kwake kiba.
 
Du nashangaa mnavyomwita diamond ni mtoto mdogo nadhani angekuwa kwenye malezi bora sasa hivi angekuwa na familia ili afikapo 50 awe ni baba bora na mfano bora sidhani kama bado hajakomm kiakili ni mtu mzima wa kuitwa baba kabisa ndani ya nyumba
 
Wadau,
Hivi Zari anapata wapi utajiri wake ?
Maana ana nyumba kama hoteli, na magari ya billions of Shs
 
Back
Top Bottom