Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

anataka na yeye aonekane rijali, hatutaki hadith sisi , azae kama yey kidume, si akubal tu hana mbegu

mpelekee apande tuone kama hazitaota....tatizo lako wewe siyo maarufu hivyo huwezi kumpata
 
Du nashangaa mnavyomwita diamond ni mtoto mdogo nadhani angekuwa kwenye malezi bora sasa hivi angekuwa na familia ili afikapo 50 awe ni baba bora na mfano bora sidhani kama bado hajakomm kiakili ni mtu mzima wa kuitwa baba kabisa ndani ya nyumba

Miaka 25? Kwa dunia ya sasa unataka aanze kuitwa baba?
 
Me simo
 
Attachments

  • 1419170600289.jpg
    1419170600289.jpg
    44.8 KB · Views: 177
Subirini nyakati. Hamjiulizi umaarufu na utajiri wa ghafla unatoka wapi?

Hamjiulizi katika bongo movie olokuwa hivi hivi kwa Kanumba?

Hivi mnajua kuwa Michael Jackson kwa sababu gani aliimba wimbo wa heal the world akionyesha mauji na unyanyasaji wa wapalestina na somalia? Nini kilimkuta baadae?

Hivi hamjiulizi umaarufu wa Bob Marley ulikujaje? Mnajua kuwa kifo cha Bob na Michael kimsingi vina source sawa - conflicts na hao secret societies wanaomuwezesha na kumpa umaarufu kupitia umiliki wao wa vyombo vya habari? Wakitaka ujulikane ni sekunde tu? Jiulize au fuatilia Robert Nesta Marley ilikuwaje akaitwa Bob? Unajua?

Basi, nimesema ni masuala ya muda tu lakini usione vyaelea, vimeundwa ndugu yangu.

Kweli wewe poyoyo, mtu yeyote anayeitwa Robert automatically unaweza kumuita Bob na mtu yeyote anayeitwa William unaweza kumuita Bill.

Jambo usilolijuwa si vyema kujifanya unajuwa.
 
Kweli wewe poyoyo, mtu yeyote anayeitwa Robert automatically unaweza kumuita Bob na mtu yeyote anayeitwa William unaweza kumuita Bill.

Jambo usilolijuwa si vyema kujifanya unajuwa.

Nikama vile mtu anaitwa awadhi au erick kiwelu lakini anaweza kujiita matola au baba samira au ras wiser au billionaire pitgan au unasemaje
Ritz
 
Last edited by a moderator:
Nikama vile mtu anaitwa awadhi au erick kiwelu lakini anaweza kujiita matola au baba samira au ras wiser au billionaire pitgan au unasemaje
Ritz

acheni hizo mazee juzi mliharibu hali ya hewa hapa jamvini mpaka thread za kiba na chibu zikafutwa.......tulia kka malizaneni pm huko.
 
Last edited by a moderator:
Nikama vile mtu anaitwa awadhi au erick kiwelu lakini anaweza kujiita matola au baba samira au ras wiser au billionaire pitgan au unasemaje
Ritz

jamani muacheni shetani apite kushoto mana watu wasije wakacharuka yakatokea tena ya juzi
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa mwanaume rijari hakuna Mrembo utakaye onyeshwa WA uyo jamaa roho isilipuke kidogo. Na usije kumlinganisha mpenzi wako uliyempata PM na warembo wa huyu jamaa, wako utamuona kama mwanaume mwenzio. Ukiacha Wema, Jokate na Penny, huyu Zari naye ni balaa.

HIvi ni hizi nyimbo au na hela inahusika? Mwenye kujua atujuze!
 
Back
Top Bottom