Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

pesa inambadili mtu.....hao ma she hawakauki saluni utamfananisha na masai dada kutwa machungani?????

DIAMOND WADADA WANAMPENDA KWA MAWILI MAKUBWA
1.Fame
2.Money(hata kama hawaongi)
 
Hela mkuu na zikikatika huwaoni hata kukupa salam

Mkuu sio hela kivile.. Wanawake wa dizaini hiyo wanapenda fame na kuwa kwenye limelight kwa sana.. So wanapokuwa na msanii kama Diamond nao wanakuwa na wanafurahia kuwa kwenye spotlight.. Dame kama yule wa Uganda ana kisu cha kutosha tu lakini kwa diamond amefuata anapata publicity..
 
Zari alifanya hivyo ili amtumie Diamond ktk part yake bila malipo, na amefanikiwa, sasa kama Diamond ataingia penzini ndiyo hapo mtakapomuonea huruma, kwa wanawake hata kama ana milioni wewe una laki ataitamani laki yako au utalipa bill ya matumizi mkiwa nae.
 
Vyote viwili vinategemeana pesa na umaarufu. Kwani wangapi walikiwa wakimfaham Penny kbl hajawa na Diamond na wangapi walikuwa wakimfaham Zari kibongobongo kbl hajwa na Diamond? Haya ni maswali ya kujiuliza bt majib yako wazi
 
kuna kitu kimoja najua ushawahi kukisikia kua "Beauty is in the eyes of the beholder" kuna wengine uliowataja hapo wengine tunawaona kama majiwe tu... sema wewe na jamaa mmeendana kuwaona hao mademu kama gold, ila tupo wengine tuko tofauti kidogo... afu hata wa kwangu nayemuona ananifaa unaweza ukamuona jiwe, that's how it happens sometimes..
 
Hao mademu wanaonekana wakali kwa sababu wana escrow tu. Bila hivyo ni wakawaida tu.

Si ndo hapo! Huyu jamaa inaonekana kwenye issue ya mademu wakali ni zero.
TBS cjui anamaanisha nn? Kuwa mc tz ndo tbs? Na siti mtevu nae ana tbs?
Asijudge kitabu kwa cover. Unampima mwanamke physically na mentally. Waliokua na hivyo vimeo ndo wanavijua asisifie vitu kwasababu tu anaviona kwenye screen.
Labda uniambie joket na zari nao wanawajua waliowahi kuwakamua. Wema nimewahi kumuona live kwenye onyesho moja, yupo so artificial. Mwili umeanza kubongonyoka anaukusanya kwa vibody tight, kwa umri alionao cjui akifika 30 atakuaje! Yule ukikutana nae anatoka kuamka, demu wangu mkali hata mara kumi yake. Sema wanajiweka expensive ndo maana. Wao km domo tu kwakua wana pesa lkn ingekua kimtaan hawana lolote. Kuna watoto wakali jaman me namshangaa mleta mada au anajifungiaga ndani anangalia TV tu nn? Niliwahi kukutana na Dem mmoja HESLB kule msasani cjui, ilikuwa mwaka 2006 cjui alitoka mkoa gani? Nahic alikiwa wazir wa mikopo chuo flan hapa nchini. Cjawahi ona tena mwanamke km yule licha ya kua nashindaga posta, nahic kile kipaji kilishatimua hapa nchini, haki ya nani namkumbuka yule mwanamama hawezi ishi hapa nchini. Eti wema? Ndugu yetu anashindaga buguruni nn au mbagala kizuiani?
 
Lol! Jamaa naona anapita kule diamond alikopita miaka 47 iliyopita, kavujisha wimbo unaitwa "hela" swali ni je! Wimbo unavuja hadi na cover???? Au mi ndio sielewi maana ya wimbo kuvuja?
 
Attachments

  • 1419263402080.jpg
    1419263402080.jpg
    19.7 KB · Views: 151
Ukiwa mwanaume rijari hakuna Mrembo utakaye onyeshwa WA uyo jamaa roho isilipuke kidogo.

Na usije kumlinganisha mpenzi wako uliyempata PM na warembo WA uyu jamaa wako utamuona kama mwanaume mwenzio.

Ukiacha WEMA,JOKATA na PENNY uyu ZARI naye ni balaa.

Ivi ni izi nyimbo au na HELA inausika?

Mwenye kujua atujuze!

Mwache atimize ndoto zake mtaani kuna wanyama njoo uone vicheche ukiweza tembeza rungu kama comrade kipepe.
 
Si ndo hapo! Huyu jamaa inaonekana kwenye issue ya mademu wakali ni zero.
TBS cjui unamaanisha nn? Kuwa mc tz ndo tbs? Na siti mtevu nae ana tbs?
Usijudge kitabu kwa cover. Unampima mwanamke physically na mentally. Waliokua na hivyo vimeo ndo wanavijua co tusisifie vitu kwasababu tunaviona kwenye screen kumbe hata ana kwa ana hujaonana nae.
Labda uniambie joket na zari nao wanawajua waliowahi kuwakamua. Wema nimewahi kumuona live kwenye onyesho moja, yupo so artificial. Mwili umeanza kubongonyoka anaukusanya kwa vibody tight, kwa umri alionao cdhan akifika 30 atakuaje! Yule ukikutana nae anatoka kuamka, demu wangu mkali hata hata mara kumi yake. Sema wanajiweka expensive ndo maana. Wao km domo tu kwakua wana pesa lkn ingekua kimtaan hawana lolote. Kuna watoto wakali jaman me namshangaa mleta mada au unajifungiaga ndani unangalia TV nn?

Una wivu WA kijinga
 
Zari alifanya hivyo ili amtumie Diamond ktk part yake bila malipo, na amefanikiwa, sasa kama Diamond ataingia penzini ndiyo hapo mtakapomuonea huruma, kwa wanawake hata kama ana milioni wewe una laki ataitamani laki yako au utalipa bill ya matumizi mkiwa nae.

It makes sense,domo atatumiwa weee mpaka basi,bibi bomba zari ataanda matamasha kibao anajua domo atapafomu bureeee!! Kakamata fursa!
 
Beauty is in the eye of the beholder
Don't shudder to see Nyambizi on pretty boys shoulder
Dar to Kampala like Nazizi border to border
More women than Mitt Romneys binders and folders
 
Sio TBS nadhani ni wale wanaojulikana ambao kwa tabia za kibinadamu wakware wengi wanapenda wapige muhuri kwamba nae kapita (ndio maana hata wewe mleta uzi umewaona wakali kumbe hata hapo mtaani wapo wa level yako ni wakali tu sema kipaji kikiibuliwa na kuonekana kwenye public kila mara kinaonekana kikali though huwa wapo wakali pia)
 
Si ndo hapo! Huyu jamaa inaonekana kwenye issue ya mademu wakali ni zero.
TBS cjui unamaanisha nn? Kuwa mc tz ndo tbs? Na siti mtevu nae ana tbs?
Usijudge kitabu kwa cover. Unampima mwanamke physically na mentally. Waliokua na hivyo vimeo ndo wanavijua co tusisifie vitu kwasababu tunaviona kwenye screen kumbe hata ana kwa ana hujaonana nae.
Labda uniambie joket na zari nao wanawajua waliowahi kuwakamua. Wema nimewahi kumuona live kwenye onyesho moja, yupo so artificial. Mwili umeanza kubongonyoka anaukusanya kwa vibody tight, kwa umri alionao cdhan akifika 30 atakuaje! Yule ukikutana nae anatoka kuamka, demu wangu mkali hata hata mara kumi yake. Sema wanajiweka expensive ndo maana. Wao km domo tu kwakua wana pesa lkn ingekua kimtaan hawana lolote. Kuna watoto wakali jaman me namshangaa mleta mada au unajifungiaga ndani unangalia TV nn?

Mkuu umepata wapi mamlaka ya kumuita binaadamu mwenzio domo...??.....unadhani wewe ulimhonga muumba kiasi gani ili akuumbe hivyo ulivyo....jiangalie kijana bado unasafari ndefu sana na katikati ya safari lolote laweza tokea...kwa kuwa hujafa hujaumbika.....kuna watu walizaliwa wazima leo hii wanamiguu ya plastic....kuna watu walizaliwa na macho leo hii wanatembelea fimbo au wanashikwa mikono...wapo wengine walizaliwa na masikio mazima leo hii wanaongea kwa ishara....hayo maumbile uliyonayo si kwa kuwa eti wewe ni mjanja sana au labda wewe ni bora kushinda wengine bali ni kwa neema tu....ninachokukumbusha ni kwamba watu huwa hawatukani mamba kabla ya kuvuka mto.....Hii dunia na dunia ni uwanja wa fujo na kwenye fujo lolote laweza kutokea.......uumbaji wa Mungu unakamilika baada ya kiumbe kuaga dunia na kurudi kwa mola wake other wise hujafa hujaumbika....NI HAYO TU...
 
Back
Top Bottom