asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
yawezekana kweli maana ule wembamba nguvu zote zipo kwenye muhogo
Hahaha hivi huwa mnakuwaga mmerukwa na akili mnapochangia humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yawezekana kweli maana ule wembamba nguvu zote zipo kwenye muhogo
pesa inambadili mtu.....hao ma she hawakauki saluni utamfananisha na masai dada kutwa machungani?????
DIAMOND WADADA WANAMPENDA KWA MAWILI MAKUBWA
1.Fame
2.Money(hata kama hawaongi)
masai dada Na nyie mmeacha ng'ombe,mmeanza majungu na kutembeza BUMBU Basi maisha yako kasi sana.AISEEE
labda kuvizia picha ambayo katoka kuswimm...lazma litaonekana tu!!!Hivi halionekaniki hata kwa bahati mbaya?
Wanaume gani wasiojua hiyo siri?Ndo maana hua haongi ovyo ovyo...watu wanaosimamia kucha hawachunwi ovyo na bado hogo linapangiwa foleni basi tu wanaume hawajui hii siri
Una wivu WA kijinga
Beauty is in the eye of the beholder
Don't shudder to see Nyambizi on pretty boys shoulder
Dar to Kampala like Nazizi border to border
More women than Mitt Romneys binders and folders
Dunia imebadilika sana yaani kuna MIJANAMKE CHIZI Kabisa.
Mimi hii ndio ninayoijua...........
Hivi halionekaniki hata kwa bahati mbaya?
Hujui maana ya kusimamia kucha shem....Mbona unaongea kiutu uzima (kwa mafumbo) fafanua basi wengine hatujui mema na mabaya
Hahaha hivi huwa mnakuwaga mmerukwa na akili mnapochangia humu?
Akitoka tu kitandani ni kuoga na kujipaka make up za kutosha
alokuambia mi mwanamke nani watch out ntakulaza chali wewe ohooooo
kwema....ila my beauty ipo katika macho yako....
Ukiwa mwanaume rijari hakuna Mrembo utakaye onyeshwa WA uyo jamaa roho isilipuke kidogo.
Na usije kumlinganisha mpenzi wako uliyempata PM na warembo WA uyu jamaa wako utamuona kama mwanaume mwenzio.
Ukiacha WEMA,JOKATA na PENNY uyu ZARI naye ni balaa.
Ivi ni izi nyimbo au na HELA inausika?
Mwenye kujua atujuze!
hahahhha sijui kaja MMU kufanya nini hajui humu ni MAPENZINI kama jf ni nchi MMU ni tanga kama anataka siasa kuna nyuzi kama 10 za mama tiba akachangie
wema huko anafata mbesa tu naskia pale ndo anapata kitu roho inapenda mkuno wa nazi kwenye mbuzi
wengi tu tena wanaume rijali kabisa....Wanaume gani wasiojua hiyo siri?