Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

pesa inambadili mtu.....hao ma she hawakauki saluni utamfananisha na masai dada kutwa machungani?????


DIAMOND WADADA WANAMPENDA KWA MAWILI MAKUBWA
1.Fame
2.Money(hata kama hawaongi)

Akitoka tu kitandani ni kuoga na kujipaka make up za kutosha
 
masai dada Na nyie mmeacha ng'ombe,mmeanza majungu na kutembeza BUMBU Basi maisha yako kasi sana.AISEEE

ichi kijiwe tu

pia nakushangaa wewe kilichokuleta huku MMU KAMA UNATAKA KUONGEA MAMBO MENGINE NENDA JUKWAA HUSIKA

hapa ni MAPENZI TU NA KUPENDANA

sasa sijui unachojaribu kusema nini

unataka niongelee sakata la escrow hapa????

embu PUTA HIVI..........
 
Last edited by a moderator:
Beauty is in the eye of the beholder
Don't shudder to see Nyambizi on pretty boys shoulder
Dar to Kampala like Nazizi border to border
More women than Mitt Romneys binders and folders

kwema....ila my beauty ipo katika macho yako....
 
Akitoka tu kitandani ni kuoga na kujipaka make up za kutosha

yaani ni kila sasa wanakuwa wapo on set

so uzuri mtu anaweza kua nao lakini kama haumantain utamuona wa kawaida
ila kama anaumantain utamuona kisu kila saa
 
alokuambia mi mwanamke nani watch out ntakulaza chali wewe ohooooo

hahahhha sijui kaja MMU kufanya nini hajui humu ni MAPENZINI kama jf ni nchi MMU ni tanga kama anataka siasa kuna nyuzi kama 10 za mama tiba akachangie
 
Ukiwa mwanaume rijari hakuna Mrembo utakaye onyeshwa WA uyo jamaa roho isilipuke kidogo.

Na usije kumlinganisha mpenzi wako uliyempata PM na warembo WA uyu jamaa wako utamuona kama mwanaume mwenzio.

Ukiacha WEMA,JOKATA na PENNY uyu ZARI naye ni balaa.

Ivi ni izi nyimbo au na HELA inausika?

Mwenye kujua atujuze!

Siri ya mafanikio ni kugonga ringi ipasavyo...lazma wa hadithiane.
 
Mm pia namiliki watoto wazuri..
Sina pesa wala umaarufu wowote..
Kitu pekee ni kuwa ninajiamini.
 
wema huko anafata mbesa tu naskia pale ndo anapata kitu roho inapenda mkuno wa nazi kwenye mbuzi

Hapana,kama pesa za kuhonga diamond anazo,wema anafata wakongo kwa sababu wakongo wengi wanatumia kasongo 7 kiboko ya kwa bibi,domo mbona kaonga murano ya 36m? Domo ana pipe lakini hajui kuitumia,angejua kuitumia wema asingeangaika kuliwa kwa ajili ya 2m,hizo baby wake domo ana uwezo wa kumpa,anatembeza kwa sababu domo hamkuni,believe that.
 
Back
Top Bottom