Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mfalme akiingia
 
Attachments

  • 1419550417825.jpg
    1419550417825.jpg
    55.3 KB · Views: 239
  • 1419550454490.jpg
    1419550454490.jpg
    52.3 KB · Views: 236
  • 1419550503395.jpg
    1419550503395.jpg
    64.6 KB · Views: 231
  • 1419550515741.jpg
    1419550515741.jpg
    70.2 KB · Views: 217
Kunao waliokosa kuingia kwa kua ndani kumejaa kama huyo mdau kwa hio comment
 
Attachments

  • 1419550652998.jpg
    1419550652998.jpg
    45.5 KB · Views: 221
Hakika huu ni usiku wa wafalme maaana hii nyomi duuh????
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.
aisee huyo ndo king mwenyewe bwanaaa wengine fake, wapiii wale wazomeaji??
Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.
Wazomeaji yashawashuka kitambo
King Kiba alikuwepo hapo?
Sisi tunajaza kumbi,tunaingiza tuzo na ikulu tunaenda.
Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.
Hapana tania diamond hadi mkuu wa kaya kamkubali we usipomkubali utakuwa mchawiiiiiii
Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.
Huku ni balaaa unaambiwa ukisimama ndo apo apo ata seemu ya kutema amna
Hao ni wapenzi wa Jahazi.
Mfalme akiingia
Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.
 
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.

Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.

King Kiba alikuwepo hapo?

Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.

Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.

Hao ni wapenzi wa Jahazi.

Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.

Bhasi unadhani ntahangaika na wewe baba yangu????wewe endelea kuamini uaminivyo...au nikupe za mchana wakati mfalme akikagua sound????
 
Ni show yake ya kufungia mwaka pale DarLive, tiketi ziligombaniwa kama pipi na kuisha mapema huku watu wengi wakizuiwa kuingia baada ya tiketi kuisha na watu kujaa ndani kuliko kawaida.

10885150_857079247647224_8587302308146025255_n.jpg
 
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.

Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.

King Kiba alikuwepo hapo?

Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.

Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.

Hao ni wapenzi wa Jahazi.

Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.
itakua unamchukia diamond kwa dhati kweli kweli duh, manake unavokanusha kua nyomi la DarLive halimuhusu ni kwa unazi kweli
 
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.

Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.

King Kiba alikuwepo hapo?

Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.

Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.

Hao ni wapenzi wa Jahazi.

Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.

1419579375390.jpg
Huna jipyaaaa.. GO TO HELL
 
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.

Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.

King Kiba alikuwepo hapo?

Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.

Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.

Hao ni wapenzi wa Jahazi.

Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.

Lazma ujue kutofautisha kati ya mfalme wa kariakoo,mfalme wa pop East Africa na mfalme wa taarabu.
 
Ni show yake ya kufungia mwaka pale DarLive, tiketi ziligombaniwa kama pipi na kuisha mapema huku watu wengi wakizuiwa kuingia baada ya tiketi kuisha na watu kujaa ndani kuliko kawaida.

10885150_857079247647224_8587302308146025255_n.jpg

Kiingilo sh ngapi
 
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.

Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.

King Kiba alikuwepo hapo?

Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.

Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.

Hao ni wapenzi wa Jahazi.

Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.

du hizo chuki tu za wazi kabisa......
 
Back
Top Bottom