Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Dirisha dogo ukilifanyia usajili ute lazima.....ushaharibu hali ya hewa.Chezea mitalimbo weye

Dada huku ni sehemu ya wastaarabu, sio thread ya waliokosa malezi mazuri kama wewe, mwanamke gani unatukana kama hauna wazazi ata aibu uhoni? mwenzio anajitahidi kukuepuka umemwandama toka juzi. Ukiona unalazimisha vita na mtu ujue kakuzidi kila kitu so silaha iliyobaki ni matusi ya kichangudoa kama (ya) wewe.

Kwa tahadhari tu, changanya masaburi tusikuone tena huku. La sivyo huu ugomvi utauuza bure.
 
Komaa.....huna mandate yakunichagulia thread yakuchangia.
Halafu yeye ni wa kwanza kuniquote baada yakuchangia na kuanza kutoa matusi kuwa sisi ni Dada poa kisa tumetofautiana kimtazamo.

Sasa usione nipo kimya ukaamua kunipanda kichwani....kama unataka kununua nunua nipo tayari.
 
Post ya kwanza kuchangia ni post no 3956 nenda kaangalie halafu ndo uanze kujishughulisha na mimi.Always sina shobo na mtu,huna sababu yakuniita dada hata hivyo.Kabla yakurukia jambo fanya tafiti....no research no right to speak
 
Zai usijibu mtuuu, puliiiizzz, acha wahorojoke waondoke.. humu ndani no stress yani. Kama tuzo zipo za kutosha, pesa ndo mpaka zamwagwa....wenye stress waache wakafie mbele....usibizane na mtu nakuomba katoto wanguuuu.....

Mmekutana!!!! Ngoja mtu mzima nikae pembeni
 
Komaa.....huna mandate yakunichagulia thread yakuchangia.
Halafu yeye ni wa kwanza kuniquote baada yakuchangia na kuanza kutoa matusi kuwa sisi ni Dada poa kisa tumetofautiana kimtazamo.

Sasa usione nipo kimya ukaamua kunipanda kichwani....kama unataka kununua nunua nipo tayari.

Binti rudi ulikotoka, TAFADHALI.
 
Ptuuuuu!!! nimetema mate mengi sijawahi kuona watu washari kama mtaa wa pili, kazi kulazimisha ugomvi, matusi ndio silaha yao, alowatuma naniiii???? kwa hiyari yenu mlikubali kumshobokea asojua kupika vitamu, kula viporo ndio stahiki yenuuuu!! si mvumiliee??

Ooooh! utawaskia mcharo anaringaaa!! mara mcharo ana lile, heheeeeiyaaa, na bado havijawapalia, nyumbani kwa mcharo ni full burudanii, za bandika bandua, huku mikuku tu fyaaaa fyaaaa twakaangaga tu sie, hapa viporo mwiko tumekatazwa na dokta kwa afya zetu eee!!!! zai embu nikumbushe hivi hawa vitorondo juzi pale leaders buffet yao ilikuwa na chakula gani tena?? baada ya kupakuwa kile chakula chao cha mwana, ambacho almost kimeshachacha walikula nini tena????

maskini niliona viporo tu pale mwenzenu, lakini hata ingekuwa mimi ningemchukia mcharo kazidi na yeye kupika mavyakula matamu, si bure walimrushia makopo hihihihiiiii, lakini mcharo nae ananiboaga wakati mwingine eti in return akawarushia pesaa! bwahahahahahaaaa!!! maskini nikaviona vinarusha makopo yao chini vikaanza kugombania pesaa, ukute havikuwa hata na nauli ya kurudi kwao, lololololoooo! poor you!! moyo wa imani umeniingia ghafla.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahaha
 
teh teh teh
 
Mcharo amekuwa mtamu!!!!!!!!!!!! Ndo maana mnamshobokea eh!!!!! Kuna show nishawah kuona alibaki na boxer,,nyingne akavaa kisketi na tight ndani!!!! Kumbe huwa ana fanya P.A!!!
 
Last edited by a moderator:
Na saivi kaanza kuimba taarabu!!!?? Dah !! Kiba utaua bila kukusudia jamani

kabla ya 2009 ( kabla ya platnumz kuingia kwene game rasmi ), wengi wetu humu tulikua tunamkubali Ali Kiba ( inawezekana alikua number 1 artist wetu ), akaja diamond hatukumchukia ali kiba ( inawezekana tulikua tunamkubali vile vile bado ). Ali Kiba akawa anatoa wimbo mmoja ( Dushelele ) diamond tatu nakuendelea ( mbagala, nitarejea, lala salama ma nyinginezo). Ali Kiba akaendelea kutoa nyimbo moja moja ( Single Boy ), platnumz nae akaendelea kutoa nyimbo nyingi nyingi ( mawazo, kipofu, ukimwona, chanda chema ). Sasa sisi ambao tulikua watu wa Ali Kiba by then tukawa tunamsikiliza sana Diamond kwasababu alikua karibu sana na sisi kuliko Ali K. Ikatokea mwaka 2012 mwishoni ali kiba akatoa my everythin watu wakasema amerudi, mara akakaaa kimya tukawa tunamsikia kwene collabo zisizoeleweka ( Kelele ), focus ya diamond ikawa kutoa ngoma kali na nyingi kwa muda unaofuatana pamoja na videos kali ( Kesho ). Kesho ilinyimwa hata nomination kwene KTMA wakati wasanii wakubwa walikiri kua hiyo ndo video yao kali kwa mwaka. Platnumz akalalamika na akaendelea kustruggle. Akatoa Nataka kulewa tukaikubalia ( Ali K yupo kimya ). Ndo akawa ametuchukua kabisa ( tusingeweza kumsubiri Ally Kiba atoe wimbo mmoja ndani ya miaka 3 wakati kuna diamond ambae ndani ya mwaka mmoja anatoa nyimbo hata 4 ). Akaja na My Number 1 2013 ikawa na bonge la video ikazoa tuzo za kili, same year ikawa audio ya remix na davido ikawa imekamilika ( waliipafom kwene fiesta 2013 ). 2014 mwanzoni video ya remix ya my number 1 ikatoka. Baada ya hayo mafanikio sijawahi kumsikia diamond akijiita Mfalme wa Bongo Fleva, Numere eik, Nambari Moja wala kujilinganisha na Kiba. Amekua akiwaheshimu wasanii wakubwa kwa kuwaita Kaka ( mfano TID, Dully na Prof Jay ). 2014 ali kiba akatoa ngoma mbili kwa staili ya kua amerudi kukaa kwene kiti chake tukashangaa "kwani anaongelea kiti kipi ??! " ( Jibu likaja kua Ali Kiba amewahi kujiita mfalme na pia alijiita namba 1 ) lakini nani amejiita namba moja mpaka Ali Kiba aje achukue na amtoe? ( hakuna aliefanya hivo ). Uchunguzi ukaonesha Ali Kiba anaongelea mafanikio ya Diamond ( ambayo hayana uhusiano na vyeo alivojipaga ). Watu tukashangaa kuna uhusiano gani kati ya ufalme wa Ali Kiba na mafanikio ya Diamond? Tukagundua Ali Kiba anawivu. Hatukumchukia, wakaja watu ambao walikua wanamchukia diamond ( tokea mwaka 2010 ) bila sababu wakasema ni mashabiki wa Ali Kiba, wakawa wanamtukana facebook ( hata wakati kiba hakua ametoa wimbo ). Kwachuki ile ya hao jamaa wanaojiita wa Kiba nasisi tukaanza kumtetea diamond kwa kujenga chuki kwa Ali Kiba ( ambae tulikua tunamkubali ). Sasa hivi washabiki kama wewe mmefanya Ali Kiba awe anachukiwa na watu wengi wanaomkubali diamond ( ambao kabla walikua wanamkubali ). Tukikuuliza kwanini unamchukia diamond utashindwa kutupa jibu, ni aidha una wivu wa kike ( na mafanikio yake ) kwasababu diamond hajawah kumtukana Kiba wala kujilinganisha nae ( he is in the league of his own ). Jamaa amekaza mpaka katusua, baadala vijana tujifunze kua na juhudi kama yeye ndo tunaanza kuleta us*@ge wakuzomea na kurusha makopo. Oneni aibu mjiulize kwann mnamchukia platnumz.
 
daaaah respect mkuu umenena
 
Nimesoma sehemu meneja wa Wema amekanusha.

Nipotelee wapi? Mimi ndio niliyeandika taarifa hizo gazetini? au unadhani mimi ni jobless Team sina kazi zangu ambazo zinahitaji muda wangu?

Akili za kitoto hizi.

where are u guys ma2mbo na mtvbase
cc: NkyaH
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom