Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ifuatayo ni blog ya DIAMOND PLATINUMZ. wasafi.blogspot.com
ichunie haijakamilika, ila ukiwa na hamu nayo sana sam missago anayo kwene web yake
https://www.youtube.com/watch?v=EbygXOvbLNY
View attachment 225189 awards are piling up
DIAMOND PLATNUMZ ajinyakulia tuzo nyengine ya mwanamziki bora wa east africa zilizofanyika nchini uganda date 7/2/2015 za HMA-Hipipo Music Award. source.Bongo5.com - The Hottest News, Gossip, Music and Videos!
Sorry mi najiuliza kwann nyimbo zako hazichelew kuisha utam?? Jitahidi kuongeza radha ili na cc team wcb tujidai... Coz nimeona ile kitorondo ishakua ilipendwa na ntampata wap nayo hivo hivo na hii ntasema nawe pia ishachuja... Bila shaka unafikiria kuitoa nyingine.... Mbona yule jamaa alieimba mwana hadi leo yake ni tamu??? Hadi fans wake wanajidai nayo... Fanya hivo bhas broo, hadi nataka kuhama team bhana...[Huu ni mtazamo wangu...] Peace n love...