binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Dawa ni kuwaacha waongee peke yao
Mi nishawapuuza, sioni ni kwanini niendelee ku argue nao. Jamaa hawaongelei vitu vinavyoonekana utadhani wanaishi nchi ya kusadikika ya mfalme Juha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ni kuwaacha waongee peke yao
Don' worry wangu, muda si mrefu, msimu wa tuzo unakuja! mambo ni full facts with figures! Awali ilikuwa oh, Diamond anabebwa, cku hizi kimya! Mara oh, anatembelea nyota za mademu... watu tukawapa uchambuzi wa haja kuonesha ni namna gani hao mademu ndio wanaotembelea nyota ya Diamond tofauti na madai yao hafifu, yasiyo na weledi wowote wa uchambuzi na hatimae hivi sasa hawasemi tena upuuzi huu baada ya kuona yule waliyedai ndie Diamond anatembelea nyota yake anaanza kufifia taratibu na Zari ambae alikuwa hafahamiki amekuwa ndo talk of East Africa like never before!Mi nishawapuuza, sioni ni kwanini niendelee ku argue nao. Jamaa hawaongelei vitu vinavyoonekana utadhani wanaishi nchi ya kusadikika ya mfalme Juha.
Good 2 knw u're back!nipo best mihangaiko tu ya kutafuta maisha
Good 2 knw u're back!
DIAMOND PLATNUMZ si dhani kama anampinzani hapa TANZANIA.Na kama yupo anatafuta umaharufu kupitia mgongo(back) wa TEAMWAsafi.
Kupita kiasi...you happy now?
kujifanya mashuhuri, kumbe chaka wamechakaa, aga wenzenu sisi turufu si garasaaa...wenye nyota ya umaarufu si kupapasa"Hivi we haujioni kuwa una kasoro"
Uso haya usoni kutwa kwenye vigodoro"
Me nasema na waleeeeee.........
kujifanya mashuhuri, kumbe chaka wamechakaa, aga wenzenu sisi turufu si garasaaa...wenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Kupita kiasi...
kujifanya mashuhuri, kumbe chaka wamechakaa, aga wenzenu sisi turufu si garasaaa...wenye nyota ya umaarufu si kupapasa
sounds so good!OK, basi vizuri
simply bongo flavor, manake kuna ngoma kafanya afro pop, mduara, hip hop, zouk, bolingo n.k. Since mziki wake una uTanzania ndani yake basi ana fall kwene category ya bongo flavor. Speaking of multiple genre music nafikiri ndo kipaji chenyewe especially kama unaweza kukamua kisawasawa kwene kila aina ya genre. Ila to be more specific kama utakataa kua bongo flavor sio genre, basi jamaa ni mwana afropop mzuri tu ukisikiliza ngoma zake almost zote. Unakaribishwa kwa maswali zaidiWajameni ........sorry.......nauliza swali la kitaalamu............Hivi diamond anaimba mapigo gani.........yaani miondoko ipi?!Maana wadau mnachoonekana kukijua ni kwamba diamond anamba vizuri........but what kind of style au niseme ni genre gani anayoi'icon kwenye tasnia ya mziki hapa bongo...........! Mwenye ufahamu huo please step forward kunijuza please.........!
dm me your #mmmh basi sawaa... natamani nisikie na sauti yako ukiimba lol
simply bongo flavor, manake kuna ngoma kafanya afro pop, mduara, hip hop, zouk, bolingo n.k. Since mziki wake una uTanzania ndani yake basi ana fall kwene category ya bongo flavor. Speaking of multiple genre music nafikiri ndo kipaji chenyewe especially kama unaweza kukamua kisawasawa kwene kila aina ya genre. Ila to be more specific kama utakataa kua bongo flavor sio genre, basi jamaa ni mwana afropop mzuri tu ukisikiliza ngoma zake almost zote. Unakaribishwa kwa maswali zaidi