Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


10394079_899500506738431_3375674657168250187_n.jpg
 
Wimbo mzuri sana ila sijamwona yule vdeo qween alokua anasikika tatzo nn???
 
Kideo kikali sana na wimbo pia, Adam ataendelea kuwa muongozaji mahili wa bongo kwa muda mrefu ujao. Alafu Dai anakitu fulani mbele ya camera, always ananoga.
Sure... bonge la ngoma, bonge la video... yaani kila idara imesimama.
 
Back
Top Bottom