G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Wee jamaa unaongelea ushabiki mahaba au???Ivi unajua kweli unachoongea we mbwiga?huy jdee lini aliwah kuchukuwa tuzo za kili tatu mfululizo km co mwaka jana tu?miaka yot ilopita alikuwa anaishia kuchukua moja moja au mbili(hizi hazizidi miongo mitatu)...
Na toka imeanzishwa kili awards ni miaka 14 sas...ambapo kwa hesabu za haraka jdee atakuw na ama tuzo 9-10 za kili...na wakati platnumz kaanz kutoka 2009 akachukua 3,then 2,then 3 then 7 na ndo kwanza toka ametoka kweny game ana km miaka 5-6 tu bt kafanya matuc ya kutosha!