Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Okay huyo ni Diamond...

Je na wewe ni nani? (Huna haja ya kujibu swali hili ila liwe changamoto nafsini mwako)

Ha haaa!! Hawezi jibu hilo swali!! Eti Mtu mzima yuko bize kupamba wanaume wenzie tena misuli imemtoka!!!
 
na hii ya sasa ya huyu UNDERGROUND aliyeomba msaada kwa WEMA lakini pia kapata bahati ya mchongoma kudhaa maembe kwa kupata msaada kwa EX-ZARI)

Bado tu una nightmare ya tuzo za watu? Inaelekea ilikuuma sana...na bado tuzo za kili zinakuja,mbona mtaimba haleluya mwaka huu
Hivi Tuzo za watu wanapata mpunga kiasi gani mkuu?Na ile mwana kweli alirudisha fedha yake...
 
Huyu dogo bado sana kuufikia moto wa Kiba, unadhani bila godfather kumbeba leo sijui ungeandika nini,

Video zake 3 zilizochuja kwa siku 2 hazifikii hata robo ya audio ya cheketua. Hapana chezea kiba ni habar nyingine kabisa.
 
Uongo umekujaa....
 
Umeshikiwa au umeshikishwa?ahahaha ooo.nanaaa
 
Jana bbc studio Mpoto kaingia bila viatu watu hamuongei... Ila diamondi hata akitema mate tu dunia nzima itamuongelea. Dangote basi ndio anaeuzA kuliko...😀😀😀😀
 
Huyu dogo bado sana kuufikia moto wa Kiba, unadhani bila godfather kumbeba leo sijui ungeandika nini,

Video zake 3 zilizochuja kwa siku 2 hazifikii hata robo ya audio ya cheketua. Hapana chezea kiba ni habar nyingine kabisa.

Huko kwa Godfather anaenda bure?
 
Unavyoongelea East Africa Je chamilionne mnamuachaje? Maana sijui chamilionne na huyo Diamond nani king wa East Africa kwa mtazamo wako?
 
Hivi Tuzo za watu wanapata mpunga kiasi gani mkuu?Na ile mwana kweli alirudisha fedha yake...

Hizi kumbe tuzo is all about money? I thought it's a reward for being the best...bac kama swala ni mkwanja mbona diamond haongozi hapa, kuna wababe wake kwa kila kitu kina kama jide but hawanaga hata mbwembwe wamepiga mute tu, but huyo diamond sasa...kweli naamini kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
 
Huyu dogo bado sana kuufikia moto wa Kiba, unadhani bila godfather kumbeba leo sijui ungeandika nini,

Video zake 3 zilizochuja kwa siku 2 hazifikii hata robo ya audio ya cheketua. Hapana chezea kiba ni habar nyingine kabisa.

Hv kiba ameanza lini kuimba na kafikia wap vile? Show yake sh ngap analipwa? Tuzo za ndani hata mi ninayo, za nje Kiba anazo ngapi vile.... Localizeddd!!
 
Kweli dogo anafanya vema amefanikiwa, nichangamoto kwa wengine, ila chuki sio issue
 
Ivi Diamond hajachukua fomu ya kugombea uraisi wa JMT maana ilo ndio ulilobakiza kama bado nenda kamuombe basi aaaarrrrgh.
 
Hao wanaofanya unavyotaka wapo wapi? Kila mtu n staili yake ya kutoka. Tunataka mafanikio

Kipengele cha kuimba playback umesahau? akianza kuimba kwa live band uje tena. To me Qchief au TiD ni bora zaidi kuliko huyo sababu ya msingi nimewahi kuwashuhudia wakiimba pamoja na vyombo.

Hiyo ndio sifa kamili ya mwanamuziki otherwise hakuna kitu. Hivi unaanzaje kujiita mwanamuziki wakati hutumii wala hujui kutumia aina yoyote ya chombo cha muziki??? huyo ni recording artist tu sio mwanamuziki. Kwahiyo kila kwenye neno mwanamuziki toa weka msanii.
 
Destined To Musically Conquer Africa; the Amazing Tale of Diamond
Platnumz.
Whether you cognize Swahili or not, you sure have fallen in love with one of his songs or one of his exquisitely crafted videos. I’m talking about Diamond Platnumz, East Africa’s most selling artist and one of Africa’s most progressive musicians. From Afro-pop to Afro folk, Diamond Platnumz has set himself apart as talented, versatile, unique, focused and destined to musically conquer Africa; a journey that is rather deliberate not fortuitous. Before I excavate deep into the startling journey of East Africa’s hottest music export to the world, let’s take a brief look at who he is. Born Nasibu Abdul Juma on the 2nd of October 1989 in Tanzania, Diamond is a Bongo Flava recording artist and singer who has won numerous awards world over including Channel O and the Prestigious HiPipo Music Awards. He has performed in different parts of the world, with some of his hottest songs including Kamwambie, Nalia na mengi, Mbagala, Nitarejea, Binadamu, Kizaizai, Lala Salama, Moyo Wangu, Mawazo, Kipofu, Kisa, Nimpende nani, Chanda Chema, Ukimwona, Nkifa Kesho, Nataka Kulewa, Kesho, Mapenzi Basi, Number One, Number One Remix (Ft.Davido), Mdogo mdogo, Bum Bum (Ft. Iyanya), Lala Ukisinzia, Ntampata Wapi, Nasema Nawee and Nana (Ft. Flavor). One of the things that have elevated Diamond is his deliberate choice to craft stunning music videos. Whether you like his music or not, you’ll agree that his videos speak volumes of effort and creativity. His Nana video (Ft. Flavor), for example, is such a beauty! Nana was shot in Cape Town, South Africa by God Father and it sure is well thought out, right from concept, story, casting and costuming to choreography! It feels like a movie and that’s what I mean when I say that Diamond’s rise to the top is well thought out. In addition to his talent and uniqueness, it is such videos that have endeared him to music fans all over the continent. He doesn’t craft music videos just for the sake of having a music video out there, but rather to deliver masterpiece products; products that would appeal to a music fan in any part of the world! His eye for the right collaborations has also helped him spread across the continent at such an amazing speed. Projects like Number One Remix (Ft. Davido), Bum Bum (Ft. Iyanya) and Nana (Ft. Flavor) have helped him spread beyond his East African market. At this rate, Diamond Platnumz is obviously destined to musically conquer the African continent.
 
Kipengele cha kuimba playback umesahau? akianza kuimba kwa live band uje tena. To me Qchief au TiD ni bora zaidi kuliko huyo sababu ya msingi nimewahi kuwashuhudia wakiimba pamoja na vyombo.

Hiyo ndio sifa kamili ya mwanamuziki otherwise hakuna kitu. Hivi unaanzaje kujiita mwanamuziki wakati hutumii wala hujui kutumia aina yoyote ya chombo cha muziki??? huyo ni recording artist tu sio mwanamuziki. Kwahiyo kila kwenye neno mwanamuziki toa weka msanii.

+Mkuu una uhakika Diamond hawezi/hajawahi kupiga live? Km ulikua hujui hilo inaonekana sio mfuatiliaji mzuri wa muziki wa bongo.

+kwa kukusaidia embu rejea show ya Diamonds are forever uone pale kama playback ilipigwa.
Mbali na hapo embu ingia YouTube tu hapo then angalia shows za coke studio za msimu wa kwanza na wa pili ushuhudie kijana anvyokupigia live show za high class!
 
Back
Top Bottom