Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

karibu team no stress... wahi mapema kabla nafasi hazijajaa

Leo umenifurahisha sana Kidingi. Una upeo fulan ivi tofauti na mamluki mengine yanachojua tuu ni ufekero.
But siwezi kuhamia team mond ila nakubali muziki wake.
Ni sawa kusema shabiki wa simba aishangilie yanga ikiwa inacheza na azam
 
Last edited by a moderator:
Heheheiyaaaaa mapovu yatawatoka mwaka huu....
Team kiba hatukuwa na mtu kama wew sema wew ni team domo ata maandishi yanaongea.
Pole sana

Hahaaaa huyu shamuona somewhere humu anataka attention ila ni timu mond huyo. Tena yani.........

Hahahaaaa kazi kweli kweli. Eti anahamia lasmi team mond kwani alikuwa team nani? Watu bhaaanaa

Attention seeker huyu kwani kuhamia hyo timu cha ajabu nini? Teh teh teh multiple id's at work.

Anajitekenya mwenyewe anakata viuno mwenyewe anajijambisha mwenyewe halafu anajizamisha dole mwenyewe! Kazi kwelikweli, watu wengine kama sigara kali tu wanawashwa mbele na nyuma.
 
We nawe kanjanja tu, wenzako tupo kwenye uzi tunajadili ya maana we unakimbilia huku,
 
Anajitekenya mwenyewe anakata viuno mwenyewe anajijambisha mwenyewe halafu anajizamisha dole mwenyewe! Kazi kwelikweli, watu wengine kama sigara kali tu wanawashwa mbele na nyuma.

hahahaaaaahaaawAkyaaaanani kuna watu nawaweza ila sio Matola lol sio kwa ma shushu hayo jamani.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo letu wabongo kila kitu tunakuchukulia ktk negative way...kukosoa n kazi rahisi sana guyz...let's change.
 
Heheheiyaaaaa mapovu yatawatoka mwaka huu....
Team kiba hatukuwa na mtu kama wew sema wew ni team domo ata maandishi yanaongea.
Pole sana

Akwendree kwanza hatumjui.So hatupunguzii chochote kitu.
Kwenda mwana kwendraaa
 
Hahaaaa huyu shamuona somewhere humu anataka attention ila ni timu mond huyo. Tena yani.........

Wanadhani tunavojaribu kumuweka Kiba sawa ndio tutamkimbia!
Truth be told, ana mapungufu yake ila anakimbiza kinoma noma.
 
Hebu tuambie I'd yako ya zmani ukute ni yule anaempondaga haswa Daimond ,,
Mmoja mmoja ndio mwendo
Who is nexttttttttttttt............
 
Back
Top Bottom