Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mbona sioni sehem yakuvote wadau. Au ndio mda umeisha tayari??
 

Attachments

  • 1436897554876.jpg
    1436897554876.jpg
    33.9 KB · Views: 125
Mkuu haija ji register...unaez ji register kupitia fb account yako..au email au twitaaa..fanya hivyo haraka..uweze kupiga kura

Ok itakua imajiLog off tweeter mana ilikua on mda wote nilkia nikivote tu" thanks mkuu.
 
Mi navote tu kiroho mbaya

ahahaha!!bado bwana mpaka kesho!huenda mtandao umesumbua hapo kwako ,bado muda

Bado kweli asubuh hii nimevote imekubal jana mtandao naona ulizingua kwngu. Lets vote guys za mwisho mwishoo
 

Attachments

  • 1436938399328.jpg
    1436938399328.jpg
    36.1 KB · Views: 184
Daaaaaah yani hili limtu linajuwa hadi kero yanii...

Another nomination from AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS kama best male single of the year Nitampata wapi... Zitazofanyika october marekawise wooozaaaaa wapi team haters daaaaaaaaaash

Kama vipi tumalizie mtvmama mwisho leo 23:59 afu kesho tunahamia huku... Na ijumaa NEA upigaji kura unaanza kwahiyo tutakuwa tunapiga kotekote via website..
 



Diamond Platnumz


Page Liked · 39 mins · Edited

Naomba niwashkuru wadau na Mashabiki zangu wote kwa support kubwa mnayozidi kunipa... Niwashkuru wote mlokuwa Mkihamasisha na kupiga kura katika tunzo za #Mtvmama2015 Hakika ni upendo Mkubwa..kijana wenu now nimetua South Africa tayari kwajili ya Kujiandaa kwa show nk... ila pia wakati nimetua nimekutana na Habari nyingine nzuri...kuwa Nimechaguliwa kwenye Tunzo za Marekani ziitwazo AfricanEntertainmentAwards Kama Msanii Bora wa Kiume Africa na Nyimbo bora ya Africa#NtaMpataWapi Hii ndio Account yao AfricanEntertainmentAwards Ntawajuza namna ya Kupiga kura Soon..

11755791_960430500645431_7032950643095175891_n.jpg
 



diamond platnumz


page liked · 39 mins · edited

naomba niwashkuru wadau na mashabiki zangu wote kwa support kubwa mnayozidi kunipa... Niwashkuru wote mlokuwa mkihamasisha na kupiga kura katika tunzo za #mtvmama2015 hakika ni upendo mkubwa..kijana wenu now nimetua south africa tayari kwajili ya kujiandaa kwa show nk... Ila pia wakati nimetua nimekutana na habari nyingine nzuri...kuwa nimechaguliwa kwenye tunzo za marekani ziitwazo africanentertainmentawards kama msanii bora wa kiume africa na nyimbo bora ya africa#ntampatawapi hii ndio account yao africanentertainmentawards ntawajuza namna ya kupiga kura soon..

11755791_960430500645431_7032950643095175891_n.jpg

president
 
Cjui collabo Lita happen tena diamond × davido
 

Attachments

  • 1437059121074.jpg
    1437059121074.jpg
    39.3 KB · Views: 130
Back
Top Bottom